Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
Your browser is not able to display this video.
 
Kila ibada lazima iliombee kanisa ,Imani na amani
 
Kanisa ni watu ....kanisa ni nchi kwa wasiofahamu
 
amani na umoja ni ombi la kila Mtanzania
 
lets pray for Our motherland Tanzania
 
Amani ya bwana iwe daima nanyi
 
peaneni Amani vijana
 
Sisi hatuna mengi ni moja tu
 

Attachments

  • Ccm .jpg
    283.7 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…