Mkuu si tunazungunmzia matatizo ya DRC na usalama wa Tanzania .! Sijasema M23 sio tatizo .Mimi nimejikita Kwa ADF na udini...na Hatari inayoikabili Tanzania ikijiweka mbeleKwa sehemu kubwa swala siyo ADF sana, labda utake kuhamisha 'focus' tu toka kwa tatizo kubwa la M23 kwa sababu uzijuazo mwenyewe.
ADF ni tatizo si kwa DRC pekee, ni tatizo hasa la Uganda.
Hakuna nchi jirani zinazowasaidia ADF kuvuruga DRC, kama wanavyopewa msaada hao M23, ambao ni tatizo kubwa zaidi.