Mkuu si tunazungunmzia matatizo ya DRC na usalama wa Tanzania .! Sijasema M23 sio tatizo .Mimi nimejikita Kwa ADF na udini...na Hatari inayoikabili Tanzania ikijiweka mbeleKwa sehemu kubwa swala siyo ADF sana, labda utake kuhamisha 'focus' tu toka kwa tatizo kubwa la M23 kwa sababu uzijuazo mwenyewe.
ADF ni tatizo si kwa DRC pekee, ni tatizo hasa la Uganda.
Hakuna nchi jirani zinazowasaidia ADF kuvuruga DRC, kama wanavyopewa msaada hao M23, ambao ni tatizo kubwa zaidi.
Yaani tuogope kuwasaidia DRC kwa sababu kuna ADC, ambayo yenyewe mapambano yake yapo mbali kabisa nasi?Mkuu si tunazungunmzia matatizo ya DRC na usalama wa Tanzania .! Sijasema M23 sio tatizo .Mimi nimejikita Kwa ADF na udini...na Hatari inayoikabili Tanzania ikijiweka mbele
Hivi unafkiri anakusikia??? Saa hivi yupo zake anajilia kamvinyo ttrrraaaatiiiiibu😄😄.. Msubirie Zuuh mida mida akitoa new tangazoTutafute ufumbuzi wa kudumu wa hili tatizo ..Kukoseakana amani kwa mmoja wa mwanachama wa Jumuiya zetu ikiwamo SADC,EAC ni kukosekana amani kwetu..
Duniani tunapita..Tutende wema kwa wasio na hatia..Tutende wema kwa wanaoteseka
Naomba link ya uzi wako.Tumeshawazuunguka mutu kati sasa ni KUWATWANGA tu No connection na sponsa wao ....atakaye piga kelele tunaanza naye ...ni Mbula ya Mabanga mfulululizo
Goma Kusini