Amani ya Mashariki ya Kati itaongezeka, siku huyu Kiongozi akinyakuliwa

Amani ya Mashariki ya Kati itaongezeka, siku huyu Kiongozi akinyakuliwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Amebaki huyu sasa

Amani ya mashariki ya kati itaongezeka kwa hata asilimia 60% siku akinyakuliwa

20260105_085934.jpg

👇👇
20260105_085859.jpg
 
Hawawezi kumnyakua huyo bwana ana cheni mguuni kuanzia Lebanon, Yemeni, Iraq na Syria hapatakalika kiufupi. Halafu anaye vuruga mambo hapo middle east ni mzayuni very evil entity...
 
Hawawezi kumnyakua huyo bwana ana cheni mguuni kuanzia Lebanon, Yemeni, Iraq na Syria hapatakalika kiufupi. Halafu anaye vuruga mambo hapo middle east ni mzayuni very evil entity...
😂😂😂

Ndapendaga mnavyojipa moyo utafikir mnaa maajabu yoyote.
 
😂😂😂

Ndapendaga mnavyojipa moyo utafikir mnaa maajabu yoyote.
Hatujipi moyo hili jaribio lilifanyika mwaka Jana na uliona matokeo yake Tena ilifanyika mbinu ya kumvizia Kwa kumzuga na vikao vikao, ili umuangushe Ayatollah Yemeni inabidi iwe vumbi tupu kwamaana hautakuwa na safari za Baharini nani anaitaka hio risk? na wale wanaume walishashindikana
 
Iran na proxies wake wadhibitiwe
 
Back
Top Bottom