Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
KAMWE KAMWE KAMWE KAMWE HAIWEZI kuwa mikononi mwa NEC maana NEC ni wasela flan waliochaguliwa na msela wapange matokeo.
Changes need price.
Ukweli ni kwamba Mkurugenzi wa Uchaguzi hana mamlaka na Wakurugenzi wa HalamshauriNimemsikia mkurugenzi wa NEC akipingana na wasimamizi wa uchaguzi nikajiuliza ina maana Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni Makada wa CCM wananguvu kuliko Tume yenyewe
Hoja zingine ni za Kitoto na Kipuuzi mno ili mradi tu ipatikane sababu ya Kuilaumu NEC na Serikali. Nchi ipo salama na hakuna wa Kuharibu Amani.Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au kumpanga kada wa chama A akawakilishe chama B kwa kuwa huko atakapoenda atakuwa hafahamiki. Hii italeta shida.
Kwanini wasingefanya kama kwa wasimamizi wa vituo? Wasimamizi wa vituo wanaotoka katika kata husika, hakuna msimamizi aliyepangwa nje ya kata yake.
NEC wana wajibu wa kusimamia haki, tukumbuke kuwa HAKUNA AMANI BILA HAKI
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au kumpanga kada wa chama A akawakilishe chama B kwa kuwa huko atakapoenda atakuwa hafahamiki. Hii italeta shida.
Kwanini wasingefanya kama kwa wasimamizi wa vituo? Wasimamizi wa vituo wanaotoka katika kata husika, hakuna msimamizi aliyepangwa nje ya kata yake.
NEC wana wajibu wa kusimamia haki, tukumbuke kuwa HAKUNA AMANI BILA HAKI
Mahera ajichunguze sana. Uchaguzi huu si wa kitoto. Unaweza kupindua kabisa historia ya maisha yake binafsi na familia. Haya, alete cha kuleta ili ajue wahenga walisema majuto ni mjukuu. Hii ni Tanzania yetu.Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au kumpanga kada wa chama A akawakilishe chama B kwa kuwa huko atakapoenda atakuwa hafahamiki. Hii italeta shida.
Kwanini wasingefanya kama kwa wasimamizi wa vituo? Wasimamizi wa vituo wanaotoka katika kata husika, hakuna msimamizi aliyepangwa nje ya kata yake.
NEC wana wajibu wa kusimamia haki, tukumbuke kuwa HAKUNA AMANI BILA HAKI
Kila kitu kinafanyika kwa mujibu wa Sheria NEC haiwapangi mawakala kwenye vituo mawakala wanapangwa na vyama vyao vya siasa toa huu upotoshaji wakoMabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au kumpanga kada wa chama A akawakilishe chama B kwa kuwa huko atakapoenda atakuwa hafahamiki. Hii italeta shida.
Kwanini wasingefanya kama kwa wasimamizi wa vituo? Wasimamizi wa vituo wanaotoka katika kata husika, hakuna msimamizi aliyepangwa nje ya kata yake.
NEC wana wajibu wa kusimamia haki, tukumbuke kuwa HAKUNA AMANI BILA HAKI
Waache wakaze shingo ngumuMabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au kumpanga kada wa chama A akawakilishe chama B kwa kuwa huko atakapoenda atakuwa hafahamiki. Hii italeta shida.
Kwanini wasingefanya kama kwa wasimamizi wa vituo? Wasimamizi wa vituo wanaotoka katika kata husika, hakuna msimamizi aliyepangwa nje ya kata yake.
NEC wana wajibu wa kusimamia haki, tukumbuke kuwa HAKUNA AMANI BILA HAKI
Dalili zinaoneshaWhy do you think so? Mbona mnataka kulazimisha mambo?
Wee ni mpuuzi unajua maana ya Mlurugenzi wa taaisis?? U ajua kwa nini rufaa zilikuwa zinaamliwa kwa Mkurugenzi NEC na sio mkurugenzi wa halmashauri?Ukweli ni kwamba Mkurugenzi wa Uchaguzi hana mamlaka na Wakurugenzi wa Halamshauri
Ndo sababu hata wale ambao wameshinda pingamizi zilizowekwa dhidi yao bado hawajapewa barua ili waendelee na kampeni.
Tutaenda nayo hivyo hivyo hakuna namna...japo nawaona wakipanda ndege na bangili za chumaMabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.