Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au kumpanga kada wa chama A akawakilishe chama B kwa kuwa huko atakapoenda atakuwa hafahamiki. Hii italeta shida.
Kwanini wasingefanya kama kwa wasimamizi wa vituo? Wasimamizi wa vituo wanaotoka katika kata husika, hakuna msimamizi aliyepangwa nje ya kata yake.
NEC wana wajibu wa kusimamia haki, tukumbuke kuwa HAKUNA AMANI BILA HAKI