Amapiano ni Ushamba wa wasanii wetu au fasheni?

Kwa mtindo huu,mziki wa bongo utakua una twist mahututi na kuibukia Nigeria,mara South Africa,yaan popote Africa unaeza shangaa ukaukuta.
Namaanisha kuiga.
Mziki ambao wenzetu nje wameshindwa kuiga ni singeli.
Watoto wana soko lao mtaani hawana shida.
Japo wanaimba matusi na hawaeleweki lkn ndo wanasoko lao tyr,na hawabadiriki.
 
Lakini pamoja na hilo soko lao pendwa hao waimba singeli haliwainui kiuchumi, waburudishaji waendelee kwa hizo singeli zao na wanaotumia muziki kulenga kutoboa kiuchumi acha wapambane kwa strategies wanazoamini ndiyo zitawafikisha malengo yao.
The end justifies the means.
 
Mziki wa kweli Ni mnanda na mdundiko TU
 
Kama hujui maana ya rhythm huna haya ya kuanzisha thread kama hii..
 
wasanii watanzania kila mmoja kukimbilia kuimba Amapiano ambayo ya SA ni ushamba wa kiwango cha lami.

Nimependa sana Msaanii wa Singeli Kinata MC katoa nyimbo na mwanadada wa Uganda anaitwa Azawi nyimbo inaitwa Do le mi Go remix,
Taratibu singeli imeanza kueleweka East Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…