Amatus Liyumba: Balaa!

 
kwahiyo kama wana virusi? whats the big deal.
Ukiona hivyo unakula kona kali.
Au mnaenda kupima mguu kwa mguu ooh maana asikwambie mtu bana Ngoma noma lakini ndo hivyo tena ipo pale pale patamu tunapo penda wengi.Hii list mzee unaweza ukaona mnacycle wenyewe kwa wenyewe duhhh usione vya elea...............
 
Wanakijiji wenzangu,nimekuwa kimya for some time nilibanwa kidogo na haka ka shule naogopa kuwa mlupo nikirudi huko home.Kuhusu huyu bwana aka MZEE WA BOT,naona tuache tu hii cheni ni ndefu na kama tumeshapitiana kinoma mwisho wa siku utajikuta na wewe umo.Kuepusha matatizo yajayo naomba tuache kuiongelea hii.Kwa kawaida sisi kina mama tukishapandisha nyege unaweza hata kutuingilia bila condom kwani huwa hatuangalii vizuri kwa hiyo hata kujadili kama alivaa aipotulamba au la mnatuonea bure.Kwani uamuzi wa kuvaa mwanzo hadi mwisho wa tendo ni wenu kina baba.Naomba tuongelee mengine samahani ni ushauri tu.
 
Wanakijiji wenzangu,nimekuwa kimya for some time nilibanwa kidogo na haka ka shule naogopa kuwa mlupo nikirudi huko home.

Kuhusu huyu bwana aka MZEE WA BOT,naona tuache tu hii cheni ni ndefu na kama tumeshapitiana kinoma mwisho wa siku utajikuta na wewe umo.
........😎(whistling!)

Kuepusha matatizo yajayo naomba tuache kuiongelea hii.
......😱

Kwa kawaida sisi kina mama tukishapandisha nyege unaweza hata kutuingilia bila condom kwani huwa hatuangalii vizuri
...🙄

kwa hiyo hata kujadili kama alivaa aipotulamba au la mnatuonea bure.
...😱 pheeeeeeeeeeeeeewwwww!!!!

Kwani uamuzi wa kuvaa mwanzo hadi mwisho wa tendo ni wenu kina baba.Naomba tuongelee mengine samahani ni ushauri tu.
..........😕

NATASHA nawe umo???!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani haya makubwa. Lakini mtaani mijitu ya muundo huu iko mongi sana. Muhimu ni kucheza salama,maana wapo wengine hawajulikani na wanaambukiza wenzao makusudi. Kinachonishangaza jamaa huyu alijulikana tabia yake siku nyingi,hawa ndugu zetu hawakuwa wakijua??????
Au ndiyo utamu wa pesa usiyoitolea jasho. Baadhi ya dada zetu wanapenda sana starehe kuliko uwezo wao halisi. Unakuta kila weekend anakuwa viwanja wakati mshahara wake tunaujua kuwa ni below $500. hiyo amount nyingine anaitoa wapi? Lazima kuwe na watu wanafidia kama hana shughuli nyingine nje ya ile tunayoijua anaifanya rasmi.
 

Natasha,

Umenifurasha sana kwa post hiyo ambayo kwangu naona umejitahidi kuwa objective na kuzungumzia reality ukitujumlisha na wewe pia kny possibility ya kuwa kny hiyo list! Mana watu hapa wananyosha vidole tu kny list ya ndugu AL, bila kufikiria kuwa wao wenyewe wanaweza kuwa kny list hiyo in one way or another as long as haka kamchezo katamu wanakafanya! Hata kama si list ya AL, kila mmojo wetu (ambao hushake) naamini ana kalist kake, fikiria tangia uko Primary sc, Sec, University, on job etc ulishashake na wangapi? sasa iweke vizuri hiyo list na uaccess wangapi kati ya hao wako affected?

Pili, natasha kny issue ya Condom, kwa uzoefu wangu wanawake wote ambao nimeshakutana nao nakushake, hakuna hata mmoja wao aliyenikumbusha kwamba natakiwa niandae,na kuvaa Condom wakati wa kunaniii...kama si mimi mwenyewe kukumbuka kubeba na kukumbuka kuvaa, kama si kufanya hivyo basi tulipekua.....so is true kina mama huwa ni indecisive linapokuja suala la kuvaa condom au laa, so risk wao kuambukizwa ngoma ni kubwa mno! But please dada zetu change this altitude...tutakwisha!

Thanks again
 
 

Duu!
Yani suala la kuvaa mipira ni uamuzi wa kina baba!!!Wewe kama mwanamke una play part gani kuzui maambukizi ya VVU.
Tuache uzembe,uzembe hata kwenye kulinda maisha yako mwenyewe.

No wonder tatizo hili bado lipo na linatunyanyasa kweli
 

Mkuu,

Naona unataka kupandisha mzuka wa kimasai, huyu dada kazungumzia UKWELI ya nini huwa kinatokea mara nyingi kabla na baada ya tendo la ndoa! Ule ni mchango wake tu mkubwa usimgeuzie kuwa personal thing!

Cheers
 

Natasha heri yako wewe you have spoken your mind, nimekufurahia hebu ni PM nione unaweza nisaidiaje hapa.....nafurahia uwazi wako!

Masa
 
Natasha heri yako wewe you have spoken your mind, nimekufurahia hebu ni PM nione unaweza nisaidiaje hapa.....nafurahia uwazi wako!

Masa

Sorry mkuu Msanilo...aku PM ili akusaidie kny issue hii ya LIST ya AL or other businesses re. UWAZI na UKWELI......!
 
Jamani kuuliza si kubaya,
Hivi hii nyumba na hizi SOFA ambazo pana wakati ziliwekwa kwa Michuzi na hata hapa JF zina uhusiano wowote na hii story ya Rangi Nyekundu ya Mzee wa BoT?
Naanza kuunganisha kwa mbali, ila naweza kuwa nimekosea,

JD+akiwa+sebuleni+kwake.jpg (image)
 
aah wapi, hujanisoma wala nini....acha kujifanya unanijua au kunielewa sana dogo wewe.....hakuna anayenijua, kunielewa, wala kunisoma hapa....
kukujua???
kwani kijana hapa tunaongea au tunaandika?......nakusoma......nikusikilize?
 
Natasha heri yako wewe you have spoken your mind, nimekufurahia hebu ni PM nione unaweza nisaidiaje hapa.....nafurahia uwazi wako!

Masa
Thats ma shem.....kama Mrisho ngasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…