Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Mimi nawashangaa watu sanaaaa tu wanavyo wanyoshea vidole wenzao na kuweka list ndefu, kuigeuza geuza na vinginevyo. Ok sina ubishi wala si support kilicho kny list hiyo cos sina data za uhakika....lakini hata kama ni kweli so wht? kila moja wetu hapa provided that downstairs kunafanya kazi awe ameolewa au kaoa yupo kwenye list fulani ambayo one of those people in the list ni affected!
Ebu jiulize tangia umebalehe, ukajua ku**ba au ku***wa, ni watu wangapi umekutana nao na ulisha achana au bado ukikutana hudokoana mara mojamoja (watalaka hawatongozani)? au kama leo una mshikaji wako au mke/mme wako, una uhakika gani kama huyo jamaa anashake na wewe tu? So tukifuata ukweli, kila mmoja wetu analist yake ambayo hatujui hata status za watu wote ambao wapo kwenye list hizo! Bora hata Liumba list yake inajulikana (kama kweli), sisi wengine list zetu hazijulikani kabisa...cos tuweza kuwa tulibeba mara moja, mbili pale Jolly or Kinondoni etc, sasa wale mabinti wanbebwa na wangapi? can u imagine that?
So acheni kunyosha vidole sana kwa watu ambao list zao at least zajulikana, orodha zenu hazijulikani....this is too risk!
Ni mawazo yangu tu!