Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 425
Hiyo List ya kizushi....hata kama kama huyo Liumba ana pesa kiasi hicho..ina maana halikwa hafanyi kazi na muda wote ilikuwa kuchapa mabinti na wanawake tu??? I find this bullshit......sikatai kwamaba list yote ni feki...lakini too much exageration....List hiyo pia italeta athari kubwa sana hasa kwa wana ndoa wanaonekana kwenye list hiyo hata kwa wapenzi wa kawaida.....
The list is bullshit!
kama hii ndio kigezo cha kusema orodha hiyo ni ya kizushi ni bora ungeuliza kwanza hao warembo amewapitia kwa muda gani? siku, miezi au miaka na hapo ndipo uhoji kama alikuwa anafanyakazi au alikuwa anazingatia kifimbo cheza tu.
binafsi sina data za kusema hiyo orodha ni feki au la, ila huyu mkubwa umaarufu wake wa ngono umekuwepo mitaani kipindi sasa. kama hiyo orodha ni kweli hata kwa nusu tu basi hiyo chain yake naogopa hata kufikiria hususan ukizingatia hao watajwa wako kwenye eneo la umri unaotajwa kama "active" wacha tu