...dah, Next Level mbona huna huruma hivyo? 'Babu' is Innocent until proven Guilty.
Kaka nina huruma sana......ila nachotaka hapa, watuhumiwa wote wawe treated with equal foot mkuu....kama hujawahifika pale keko or segerea huwezi ni support!
Kwani na yeye alisema hata tukila majani powa tu almuradi BOT inajengwa twin towers?
Mkuu yeye hakusema neno...ila
anatuhumiwa kutafuna Tshs 221 bil kimyakimya.....kaka hizi ni nyingi sana (Jintao,s 22bil *10) si kidogo mkuu!
Mbona yule mzee wa Rombo mmekubali atoke kwa dau dogo ingawa alitukebehi hata tukila majani powa tu almuradi Mkapa anunuliwe ndege?
Mzee wa majani yeye alituhumiwa kutafuna less than that, halafu kumbuka na yeye mkesha wa Christmas alikeshea Keko, mbaya zaidi harusi ya mwanae ilibidi aihirishwe coz hakuweza kutimiza masharti mapema!
Halafu hao kina dada walotafunwa bila hata kujali usalama wao WALIBAKWA au walikwenda kwa tamaa zao? Mbona sijaona hata mmoja kamfungulia kesi ya madai huyu mdingi? ...tena ndio kwanza kuna wengine wanamsifia kwa jinsi alivyokuwa anawananihii vizuri!... Walijipendekeza wenyewe!
Is true kabisa hawa kina dada walimpelekea
mishundundu yao wenyewe na hata hawakubakwa physically ila walibakwa na mkwanja wa TWIN TOWERS. Huyu mdingi, aliweza kuwalamba kwa influence ya pesa tu, na si vinginevyo mkubwa!
Aaaah, acheni hizo 'Mob Justice!' Mzee wa mahenge hakumshikia mtu bastola wala bakora,...
Ni kweli..hakuna bastola iliyoshikwa, bali BASTOLA IN KIND (MKWANJA) ndio ulioweza kuwatoa nyoka pangoni.....! unajua wenzetu kina dada, wakiona cash ni kama mbwa kaona Chatu vile.....hata umwambie umeathirika hawasikii, hawaelewi kabisa! So yeye coz ni mdingi tulitegemea atumie busara zaidi!
FREE THIS MAN NOW (with a lenient bail conditions) sio kumpeleka mahakamani halafu visingizio oooh, faili limecheleweshwa, Frustrations zote za nini hizo?
Hakuna faili lililo cheleweshwa mkuu, ila masharti ya dhamana yalikuwa hayajakamilika but kama unavyotaka lenient bail conditions, wamempa kwa dhamana ya Tshs 882mil, wakati wengine huko keko wanaoza hata hawafikiriwi kupewa hizo lenient conditions
... justice delayed is the justice denied!!!!!!!!!!
This saying should apply consistently kwa watuhumiwa wote si AL tu.