Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa!

...pamoja na "yanayosemekana" mabaya yake yote, huyu Mzee wa Mahenge anastahiki sympathetic consideration. naamini, it' s Inhumane/ against HUMAN RIGHTS kumnyima haki yake ya msingi ya matibabu na lishe bora uraiani kwa kumwekea sharti la dhamana kubwa kuliko uwezo wake wote!
i231_lyumba1.jpg

Dah, sikutegemea katika wiki chache tu huko mahabusu huyu Mzee wetu atadhoofu namna hii. Inasikitisha, Chonde chonde apunguziwe hicho kiwango cha dhamana... ana watoto na wajukuu huyu jamani...!
 
...pamoja na "yanayosemekana" mabaya yake yote, huyu Mzee wa Mahenge anastahiki sympathetic consideration. naamini, it' s Inhumane/ against HUMAN RIGHTS kumnyima haki yake ya msingi ya matibabu na lishe bora uraiani kwa kumwekea sharti la dhamana kubwa kuliko uwezo wake wote!
Dah, sikutegemea katika wiki chache tu huko mahabusu huyu Mzee wetu atadhoofu namna hii. Inasikitisha, Chonde chonde apunguziwe hicho kiwango cha dhamana... ana watoto na wajukuu huyu jamani...!

kwahiyo tufanye ubadhilifu wa rasilimali za umma then tupewe sympathetic consideration eti kwa sababu afya zetu zinadhoofu /tete? Mbona hujaweka hapa picha za walalahoi wengine wanaoozea huko magerezani kwa makosa ya kubambikwa tu na hawana hata matumaini ya kesi zao kusikilizwa leo au kesho?

Aliyekwambia huko keko/segerea hakuna matibabu kwa wafungwa nani? Kama ni human rights abuse, alianza yeye...kwa kutafuna mali za watz wakati wengine wanashindia mlo mmoja usio na uhakika na pia abuse ya human rights kwa kuwatafuna dada zetu ovyo bila hata kujali usalama wao (if affected with HIV).
 
Hapo ndipo ninapo kubaliana na kauli ya Pinda japo imepinda, but sometime kwa mtu kama huyu huruma yanini? Yaani kaona kutafuna hela zetu haitoshi kaanza tena tafuta dada zetu? noooooo... he must face it.
 
...kwa kutafuna mali za watz wakati wengine wanashindia mlo mmoja usio na uhakika na pia abuse ya human rights kwa kuwatafuna dada zetu ovyo bila hata kujali usalama wao (if affected with HIV).

...dah, Next Level mbona huna huruma hivyo? 'Babu' is Innocent until proven Guilty. Kwani na yeye alisema hata tukila majani powa tu almuradi BOT inajengwa twin towers? Mbona yule mzee wa Rombo mmekubali atoke kwa dau dogo ingawa alitukebehi hata tukila majani powa tu almuradi Mkapa anunuliwe ndege?

Halafu hao kina dada walotafunwa bila hata kujali usalama wao WALIBAKWA au walikwenda kwa tamaa zao? Mbona sijaona hata mmoja kamfungulia kesi ya madai huyu mdingi? ...tena ndio kwanza kuna wengine wanamsifia kwa jinsi alivyokuwa anawananihii vizuri!... Walijipendekeza wenyewe!

Aaaah, acheni hizo 'Mob Justice!' Mzee wa mahenge hakumshikia mtu bastola wala bakora,...

FREE THIS MAN NOW (with a lenient bail conditions) sio kumpeleka mahakamani halafu visingizio oooh, faili limecheleweshwa, Frustrations zote za nini hizo?

... justice delayed is the justice denied!!!!!!!!!! 🙁
 
Aaaah, acheni hizo 'Mob Justice!' Mzee wa mahenge hakumshikia mtu bastola wala bakora,...

Kwa kweli mzee wa Mahenge huyo hana hatia ya kubaka, njaa za dada zetu yeye angefanyaje? Ila athari alo acha ni balaa Mapedeshee na vimwana wa mjini matumbo moto ukizingatia huyu jamaa huwa hatumii mipira baada ya kujua ni mgonjwa!!
 
I agree with Mrembo. It look like name are prepared/listed based on how popular the listed lady is!!!!!!!!!. Hata kama ni kweli kwamba jamaa ni kiwembe Hivi Liyumba alikuwa anafanya ngono waziwazi kiasi cha kila mtu akaweza kujua alitembea na binti yupi???????. nadhani sio kweli, NI WIVU TU
 
Kama ni kweli huyo jamaa aliwafanya mabinti wote hao, basi hao mabinti nao ni wajinga tu. Kama walikuwa wanamjua jamaa ni promiscuous hivyo ni nini sasa walichokuwa wanakipapatikia kutoka kwake? Vigari vyekundu? Ujinga mtupu....
 
kama ni kweli huyo jamaa aliwafanya mabinti wote hao, basi hao mabinti nao ni wajinga tu. Kama walikuwa wanamjua jamaa ni promiscuous hivyo ni nini sasa walichokuwa wanakipapatikia kutoka kwake? Vigari vyekundu? Ujinga mtupu....

...you've 'nailed' the Points!!!

...straight talker talks straight to the POINT!!!!...
 
HATIMAYE aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) katika Benki Kuu Tanzania (BoT) Amatus Liyumba, amepata dhamana ya Sh882milioni, huku serikali ikilalamika nje ya mahakama kutoridhika na hatua hiyo.

Dhamana hiyo ni thamani ya nyumba yake iliyoko Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
Mwananchi Read News
 
the bottom line is.... even if they are positive, whats the big deal? its their personal life and i dont think we have a right to discuss it over here.

some people will argue that the list is for awareness and I say crap...
people should take precations regardless...
ivi huyo alietoa list Kapima?

Mrembo,

Huu ni umbeya mfumodume (salacious chauvinism) uliokithiri na unatuonyesha kuwa.


1. Hatuna jinsi ya kuanza kuhakikisha kwamba kilichoandikwa na majina yaliyotolewa ni kweli au watu wanapakaziana tu.

2.Kutoka 1 hapo juu, kama kuna uwezekano wa mtu yeyote kumpakazia mtu mwingine yeyote katika namna hii, listi yote inakosa kuaminika.

3. Hata kama listi yote ikiwa ya kweli, moja ya kanuni za hili jamvi ni kuheshimu mambo binafsi ya watu.Utajisikiaje kama mtu ataweka jina lako, dada yako au mama yako kwenye hiyo listi (hakuna kinachomzuia, muandishi wa kwanza kasema ongezeni, na kama mtu ana gubu na wewe anaweza kukuongeza na listi kasambaa tu).Kama una shida na hawa watu wafuate wenyewe umalizane nao, kutoa habari zao binafsi hapa bodini, hata kama kweli wana ugonjwa, kunamuonyesha anayetoa hizi habari kuwa ana ugonjwa mkubwa kuliko hata hao wanaodaiwa kuwa na ugonjwa.

Ni uzandiki, umajununi, ulimbukeni, utovu hoja, husuda, kijicho na upuuzi wa hali ya juu kuendeleza ubazazi kama huu.

Habari kama hizi zinanukia udaku wa Ze Utamu, siyo hapa tunapopaita "Home of Great Thinkers"

There should be a law of physics or an online feature against a forum calling itself "Home of Great Thinkers" and yet entertaining such morbidly unverifiable and exceedingly maliciously salacious posts.
 
Kati ya wote tuliochangia hapa kuna anayejua kwa uhakika wa asilimia 100 kuwa Liumba ni muathirika au ndio mambo ya Chinese Whisper?
 
Kati ya wote tuliochangia hapa kuna anayejua kwa uhakika wa asilimia 100 kuwa Liumba ni muathirika au ndio mambo ya Chinese Whisper?

...si hapo basi! halafu thread nzima wamemshupalia Mzee wa Mahenge, ...ati Kwakuwa yule Aunty aliyemuibua kwa Macheni halafu akaja kumuoa, yeye na mwanawe (kichanga) walikufa kwa ngoma, haina maana na Muzee ya BOT naye ni muathirika, Alaah!... mbona hii listi nyingine hawachambuliwi?

NB:Jamani orodha ni ndefu mno kama unafahamu wengine ongezea kwa muda wako, sasa hawa mademu wengi wao walikuwa wanazunguka kwa mapedeshee na watu wenye pesa Dar baadhi yao ni:

1.Zadoc.
2.Mlatie (Mwenye Rose Garden pale Mikocheni Majimachafu).
3.Mujuni (wa EPA).
4.Lawrence Masha (Waziri wetu wa Mambo ya Ndani).
5.Cisco Mtiro (Aliyekuwa Mkuu wa Itifaki Ikulu kazi ipo).
6.Papaa Msofe.
7.Jack Pemba.
8.Bashir Awadh (MD wa Stanbic Bank kama sikosei).
9.Ray (wa Regency Hotel).
10.Kinjekitile Ngombale Mwiru.
11.Alex Massawe.( mwenye A.M. Investment).
12.Mudhamil(kampani ya akina Msofe).
13.Crecensious Magori (Jamaa wa NSSF).
 
...dah, Next Level mbona huna huruma hivyo? 'Babu' is Innocent until proven Guilty.

Kaka nina huruma sana......ila nachotaka hapa, watuhumiwa wote wawe treated with equal foot mkuu....kama hujawahifika pale keko or segerea huwezi ni support!

Kwani na yeye alisema hata tukila majani powa tu almuradi BOT inajengwa twin towers?

Mkuu yeye hakusema neno...ila anatuhumiwa kutafuna Tshs 221 bil kimyakimya.....kaka hizi ni nyingi sana (Jintao,s 22bil *10) si kidogo mkuu!

Mbona yule mzee wa Rombo mmekubali atoke kwa dau dogo ingawa alitukebehi hata tukila majani powa tu almuradi Mkapa anunuliwe ndege?

Mzee wa majani yeye alituhumiwa kutafuna less than that, halafu kumbuka na yeye mkesha wa Christmas alikeshea Keko, mbaya zaidi harusi ya mwanae ilibidi aihirishwe coz hakuweza kutimiza masharti mapema!

Halafu hao kina dada walotafunwa bila hata kujali usalama wao WALIBAKWA au walikwenda kwa tamaa zao? Mbona sijaona hata mmoja kamfungulia kesi ya madai huyu mdingi? ...tena ndio kwanza kuna wengine wanamsifia kwa jinsi alivyokuwa anawananihii vizuri!... Walijipendekeza wenyewe!

Is true kabisa hawa kina dada walimpelekea mishundundu yao wenyewe na hata hawakubakwa physically ila walibakwa na mkwanja wa TWIN TOWERS. Huyu mdingi, aliweza kuwalamba kwa influence ya pesa tu, na si vinginevyo mkubwa!

Aaaah, acheni hizo 'Mob Justice!' Mzee wa mahenge hakumshikia mtu bastola wala bakora,...

Ni kweli..hakuna bastola iliyoshikwa, bali BASTOLA IN KIND (MKWANJA) ndio ulioweza kuwatoa nyoka pangoni.....! unajua wenzetu kina dada, wakiona cash ni kama mbwa kaona Chatu vile.....hata umwambie umeathirika hawasikii, hawaelewi kabisa! So yeye coz ni mdingi tulitegemea atumie busara zaidi!

FREE THIS MAN NOW (with a lenient bail conditions) sio kumpeleka mahakamani halafu visingizio oooh, faili limecheleweshwa, Frustrations zote za nini hizo?

Hakuna faili lililo cheleweshwa mkuu, ila masharti ya dhamana yalikuwa hayajakamilika but kama unavyotaka lenient bail conditions, wamempa kwa dhamana ya Tshs 882mil, wakati wengine huko keko wanaoza hata hawafikiriwi kupewa hizo lenient conditions

... justice delayed is the justice denied!!!!!!!!!!

This saying should apply consistently kwa watuhumiwa wote si AL tu.
 
Napenda kuwaeleza watu wenye tabia kama ya Liyumba wako wengi ambao wanatumia pesa zao na vyeo vyao kuwambukiza UKIMWI dada zetu.

Je mnakumbuka miaka ya nyuma watu kama marehemu Abdul Msomali, Juma Ngida, John Ngogo wa Ruaha Galax, Pima alikuwa custom office TRA ya zamani na Dule mmiliki wa Mbozi Inn hawa wote walitumia pesa zao ukusambaza UKIMWI? Kwa hiyo mambo haya alikuwepo tangu zamani ila Liyumba kaibuka kipindi cha utandawazi ndio maana anavuma sana
 
Back
Top Bottom