Amatus Liyumba: Balaa!

huyu jamma nimjinga sana badala ya kuwekeza kwao mahenge yeye akaona dili kuhonga magari mekundu,kati ya hao waliotajwa hapo chini Fatuma Uledi-mfanyakazi wa TRA ameshafariki mwezi uliopita mungu amrehemu dadayetu tamaa ya RAV4 ilimponza

Duh!!!
RIP dada yetu... ila nina swali hapa how sure/correct are we in pointing fingers??
Kama kuna proof ya kwamba Liyumba aliwahonga hawa wadada magari kwa nia ya kufanya nao ngono isiyo salama na kuishia kuwaambukiza VVU then nafikiri instead of discussing this here its better hili suala likapelekwa kwenye vyombo vya sheria!! I'm sure we are great thinkers but how can thinking help if we can't bring the thoughts into life??
.........................................
 


Kama issue za usifadi wa fedha za BOT umepelekwa mahakamani na mahakimu na judges wamelala fofofo wategemea na hili la kuhongwa magari mekundu kwa dada zetu linaweza shughulikiwa ? Au wataka uwaone na hao Mahakimu na ma judge na RAV 4 nyekundu ili ujue kweli tupo Tanzania ?
 
huyu mwana jf ni hatari,yeye aliamua kujitoa sadaka kufuatitilia mambo ya huyu msela lakini swezi kumbishia
kwa sababu watu wenye fedha wanawatumia watu kama hawa kujipatia hawa mabinti wanaojiita warembo.
kisha hawa masela wanaanza kusambaza habari zao kama ni kweli poleni warembo wote mlio chakachuliwa
halafu unakuta kwamba msanii akitoka tu badala ya kufiklia atatoka vipi,anatafuta kimwana anayedhani kwamba
akimpata ndipo atapata heshima kwa masela haya sasa kazi kwao
 
mmewachafua wadada wa watu bureee,tangia mseme wana ngoma mbona wanadunda mpaka leo???zilikua ni jitihada za shigongo kuuza magazeti kwa kuwachafua watu famous.....na nyie mlioshiriki kuwachafua wadada wa watu,siku yenu ya hukumu inakuja!
 
Angalia kipato chakoooo.......
Chunga tamaa mbaya ndugu yangu tamaa mbaya!!!!!huyo papaa karibu atachomoka,sijui bado mshiko upo???na utashangaa wadada wa mjini wanaopenda maisha ya juu,na vijigari uchwara af hela ya petroli mpaka wachakachuliwe na kinakaka wakware ndo wapate vijisenti, vya kutia wese!hawatajipendekeza! Wanawake wengine shenzi kweli,hata zege inabidi ubebe,there is no shortcut way of life!lazma uumie bana alaaaa
 
Hivi huyu jamaa yuko gereza gani??au ndio changa la macho kumbe jamaa anakula bata ughaibuni mwaka ukiisha wanamrudisha as if ametoka jela kumbe sio. Bongo yote yanawezekana ukiwa na pesa.
 
inawezekana kweli kwa mujibu wa sheria za utumishi za utumishi wa umma mtumishi akishahukumiwa huwa anapoteza ajira yake.itakuwaje huyu harudishwe kazini wakati ametoka jela. nadhani si sahihi
 
Reminder......
 
mmewachafua wadada wa watu bureee,tangia mseme wana ngoma mbona wanadunda mpaka leo???zilikua ni jitihada za shigongo kuuza magazeti kwa kuwachafua watu famous.....na nyie mlioshiriki kuwachafua wadada wa watu,siku yenu ya hukumu inakuja!

Inategemea,maana jamaa kama alikuwa anatumia power tiller ili akupe RAV4 hatari bado ipo,si mpaka miaka hata 20, pamoja na ujio wa babu pale Semunge mambo tambarare.
 
Huyu si alikuwa amefungwa kwani lini kamaliza kifungo chake?
 
I know the lady. Sijuhi kwa nini aliamua kuwa cheap. She was very bright in class those days while we were schooling together. She deserved better than a red car (if it is true). RIP Fatma.

Kwenye Hiyo list ya Mzee Liyumba,mwanadada kwenye #42 (Fatuma Uledi) amefariki jana Kwao Kinondoni...ni habari ya kuhudhunisha.Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi!!
 
akunyimaye kunde akupunguzia ushuzi.mshukuru allah ,ulikuwa na wakukushtua!!!!1
 
mmewachafua wadada wa watu bureee,tangia mseme wana ngoma mbona wanadunda mpaka leo???zilikua ni jitihada za shigongo kuuza magazeti kwa kuwachafua watu famous.....na nyie mlioshiriki kuwachafua wadada wa watu,siku yenu ya hukumu inakuja!

na ma ARV yote haya, ukonde si uzembe wako tu!
 
duh,wanawake wote hao ana turbo jamani?halafu hao labda ndio wanaojulikana,wengine je?wallah katika hili hata mungu hakuachi
 
I know the lady. Sijuhi kwa nini aliamua kuwa cheap. She was very bright in class those days while we were schooling together. She deserved better than a red car (if it is true). RIP Fatma.

I know her too, wanamzushia tu hapa, she started being sick back in the 90 alipopata mkanda wa jeshi ndio watu wakaanza kuhisi anangoma. She then became healthy and even got a kid with a friend of mine. Sasa hicho kilichomchukua ni yeye na mungu wake wanajua. I used to know her since wakati wanakaa mwenge nyuma ya maryland.
 
Haya mambo ya kupm ANA yameanza lini tena.
Maana naona watu zaidi ya kumi PM PM sasa si heri mkaweka mambo hadharani.
Siri ni ya mtu mmoja akizidi mmoja sio siri tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…