PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Hahaha poleHuyu jamaanilitokea kumchukia haswa nakumbuka kipindi fulani nilijitwika kwa kigoli mmoja alikuwa mkali kweli kweli.Basi kwa bahati nzuri au mbaya akashinda umiss katika baadhi ya vitongoji.
Hili fisadi likamuona.....Guess what!!....jamaa zangu wakanishtua ikabidi nisitishe ghafla mkataba na kigoli kile...baada ya muda namuona na RAV 4 Nyekundu!
Nilipokuja kujua maana ya gari lile jekundu,nikashukuru Mungu.Alaaniwe alininyang'anya tonge mdomoni