Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa!

Huyu jamaanilitokea kumchukia haswa nakumbuka kipindi fulani nilijitwika kwa kigoli mmoja alikuwa mkali kweli kweli.Basi kwa bahati nzuri au mbaya akashinda umiss katika baadhi ya vitongoji.
Hili fisadi likamuona.....Guess what!!....jamaa zangu wakanishtua ikabidi nisitishe ghafla mkataba na kigoli kile...baada ya muda namuona na RAV 4 Nyekundu!

Nilipokuja kujua maana ya gari lile jekundu,nikashukuru Mungu.Alaaniwe alininyang'anya tonge mdomoni
Hahaha pole
 
Hii mada mbona siilewi elewi? mbona hizo habari za kuanguka kwa Liumba ni za mwaka 47, but hapa inaonekana kama za leo? afu mtu mwenyewe si bado yuko sero? kaanguka saa ngapi na lini? mi naona kichina china tu hapa!
Tumia akili
 
Hi guys!

Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...

Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.

Mie "chichemi"
Hajafa bado?
 
Back
Top Bottom