Amatus Liyumba: Balaa!

Kuna wanawake wengi wamepambana vilivyo kupata mafanikio ya juu na wengine kuwa matajiri. Wanastahili kupewa maua yao.

Lakini kuna baadhi ya wanawake, wapo hapo walipo kwa sababu ya mwili; chuo GPA ya chup, kazi kapewa chumbani, cheo kapewa chumbani au connection n.k. Mara nyingi hawa ambao mambo yao fekifeki ndio wanatengeneza mazingira ya kulazimisha jamii hasa mabinti wawaone wapambanaji na kuwa ni role model.

Kuna demu kwa jina kiti moto sijui siku hizi yupo wapi ajamaliza chuo tayari ana offer kazi zaidi ya 4
kuna demu alifanya maswali 2 kati 4 ya essay akapata 80% kila mtu akawa anaogopa kumpelekea test yake. Yaani watu walikuwa wanagombea kuwa naye kwenye grooup 1 kwani ni uhakika wa A.

Sasa mwanamke ambaye mali zake zote zimetokana na naniii huwa hatosheki na hawezi kuacha hadi siku atakapopteza soko kama mama star searh.

Pamoja na hali hii, tusiwachanganye wanawake wote katika kapu moja, wapo wengi ambao wamevuja jasho kufika walipo na wanastahili kupongezwa. Wengine ni vichwa kwelikweli mungu kawabariki. Tuwatie moya na kuwaunga mkono. Kuna mademu wapo ughaibuni wanapambana kubeba box, wanaosha vibabu ili wapate pesa ya kulipia ada chuo na wanafauru mitihani chuo. Mungu awasaidie sana hawa.

Note: Kuna vijana mjini siku hizi nao miili yao imekuwa mtaji wakupata mafanikio, hivyo siyo mademu tu wanaostahili kurekebishwa na baadhi ya vijana pia.
 
Hao mamiss wa mwaka gani?
 
Mwanangu experience yako ni kali mno asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…