Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa!

Ila wanawake akili zao kama kondoo... Esther kitambo sana kazishika hela. Ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuwa na hizi english medium schools kule Arusha. Mwaka 2000 nakumbuka alikuwa na Jue Junior primary school. Nashindwa kuelewa alitoa wapi tamaa tena hadi kuliwa na Liyumba??!!
Kuna wanawake wengi wamepambana vilivyo kupata mafanikio ya juu na wengine kuwa matajiri. Wanastahili kupewa maua yao.

Lakini kuna baadhi ya wanawake, wapo hapo walipo kwa sababu ya mwili; chuo GPA ya chup, kazi kapewa chumbani, cheo kapewa chumbani au connection n.k. Mara nyingi hawa ambao mambo yao fekifeki ndio wanatengeneza mazingira ya kulazimisha jamii hasa mabinti wawaone wapambanaji na kuwa ni role model.

Kuna demu kwa jina kiti moto sijui siku hizi yupo wapi ajamaliza chuo tayari ana offer kazi zaidi ya 4
kuna demu alifanya maswali 2 kati 4 ya essay akapata 80% kila mtu akawa anaogopa kumpelekea test yake. Yaani watu walikuwa wanagombea kuwa naye kwenye grooup 1 kwani ni uhakika wa A.

Sasa mwanamke ambaye mali zake zote zimetokana na naniii huwa hatosheki na hawezi kuacha hadi siku atakapopteza soko kama mama star searh.

Pamoja na hali hii, tusiwachanganye wanawake wote katika kapu moja, wapo wengi ambao wamevuja jasho kufika walipo na wanastahili kupongezwa. Wengine ni vichwa kwelikweli mungu kawabariki. Tuwatie moya na kuwaunga mkono. Kuna mademu wapo ughaibuni wanapambana kubeba box, wanaosha vibabu ili wapate pesa ya kulipia ada chuo na wanafauru mitihani chuo. Mungu awasaidie sana hawa.

Note: Kuna vijana mjini siku hizi nao miili yao imekuwa mtaji wakupata mafanikio, hivyo siyo mademu tu wanaostahili kurekebishwa na baadhi ya vijana pia.
 
Vijana wa 2005

UKIMWI upo na unaua. Zamani kabla ya ARV haijaboreshwa ilikuwa unaweza ukamjua kirahisi mtu mwenye ngoma. Lakini kwa sasa ni ngumu, dawa zinawafanya baadhi wanawiri, wavimbe sura na wawe weupe.

Lakini akila sana dawa figo, ini, mapafu, sukari, kansa ya damu, pressure n.k huwa vinawatawala hata kama umri wao haujafika 50-60.

Hakuna aliye salama tunapaswa kuchukua tahaadhari. Ni ngumu lakini nawaasa tujitahidi kutumia kinga inapobidi hata demu awe mkali kivipi.

Uzoefu unaonyesha wanawake wengi wanastahimili zaidi kuliko wanaume. Wanaume wengi ambao walisumbua mjini 1997-2010 leo hawapo na waliobaki afya mgogoro. walikuwa hadi na madalali. mfano mzee machache, mmiliki wa the green school, jasiri mwongoza njia, Gardern H, Mutiee, kimlima, cisco system, Grey hair, 6, mengo, n.k

Mademu ambao kipindi hicho walichapika vilivyo ambapo madon walikuwa wanapasiana mjini, sasa mnawaita mashangazi na wanalea vibenten kama wamechanganyikiwa. kuna mmoja juzi mmempa award alizimia mnazi mmoja wakati wa kupima ngoma 2006. Kuna mwaka Miss Tz 1,2,3 na 4 walikuwa wanapishana pale Geraffe Hotel kugawa dozi. Binafsi nilipona kwenye tundu la sindano. Vibenten wanaona wamepata kumbe ..............

Mimi sio mkamilifu lakini nimeona tukumbushane.

Bila mungu peke yetu hatuwezi.
Hao mamiss wa mwaka gani?
 
Mwanangu experience yako ni kali mno asee
 
Back
Top Bottom