Amatus Liyumba: Balaa!

Hi all,

i got this from a friend, don’t hold me liable.

 

Attachments

Hi all,

i got this from a friend, don’t hold me liable.

Mh, nimeoona hiyo orodha yako na wengi wameichungulia lakini wameogopa hata ku-comment!

Ni vigumu kuiamini hiyo list ingawa pia huwezi kui-disqualify moja kwa moja kutokana na habari za huyo ndugu.

Ujumbe muhimu kwa wote:
Stay safe, absatain from kuonja-onja!
 
Kwa kweli kuna msemo unasema "lisemwalo lipo, kama halipo laja". Lakini si kila lisemwalo lipo, ama kweli litakuja. Haya majina kwa kiasi fulani mimi naweza kusema ni kuchafuana, kwa kuwa siku hizi kusambaza habari imekuwa rahisi. Na kuchafuana kunaongezeka, zamani kuchafuana ilikuwa kwa kusemana (nasikia hili na lile), lakini siku hizi unatype ulitakalo sema then unatuma katika mitandao au hata emails za watu. Basi linasambaa, lakini haya yana athari zake, pale utakapokuta Mama, Baba, Dada, Kaka, Mtoto ama wewe mwenyewe ukajikuta uko katika hiyo list, sidhani kama utaituma kwa jamaa, zaidi utanung'unika tu.

Kwa mtazamo wangu, hawa wanaochafua wenzao kwa mitandaoa, magazeti inabidi tuwakemee kwa nguvu zote. Manake wanavunja uaminifu na pia ndoa za watu. Mfano hiyo list, akiwemo mmoja ama wawili kweli waliwahi fanya ufuska na Liumba, itaonekana na wengine ni kweli. Na hiyo list leo ina hayo majina, lakini subiri uje uipate kwa kupitia source nyingine, utakuta majina yameongezeka. Manake kama mtu anataka kukuchafua, ni kuongeza tu jina lako na kuituma.

Taknolojia hizi zitakuja na mambo mengi lakini tusikubali teknolojia zikaharibu utamaduni wetu waTZ!!!!
 

Na kuonja salama je?
 
Kama walitumia kondomu basi ni wazima
 
Huu ndio unyanyapaa tunaoongea kila siku.
kwahiyo kama wana virusi? whats the big deal.
na hao waliootoa list je walikuwa wanaingia nao wahusika mpaka chumbani kuhakikisha tendo limefanyika na bila kinga?

please let us not draw conclusions over things we are not sure of.
from what I see in this list most women mentioned are successiful women and i find it very difficult to believe that they were tempted by promises of a red car or money. from my observations I see that most of them can afford to buy their own cars etc.

mi naona huu ni wivu tu kutoka kwa baadhi ya watu waliomua kuwachafua hawa madada.

good weekend
 

Sure Mrembo, but that is just one of the possibilities. Does it rule out others...??😕
 
Sure Mrembo, but that is just one of the possibilities. Does it rule out others...??😕
the bottom line is.... even if they are positive, whats the big deal? its their personal life and i dont think we have a right to discuss it over here.

some people will argue that the list is for awareness and I say crap...
people should take precations regardless...
ivi huyo alietoa list Kapima?
 
Let God only be the ultimate judge! We will all finally end thr dead as everything else, it doesn't matter now, 2day or next week. Do u think those who died in the 60s were not human beings? Do u knw how u will die? Is it a prblm 4 some1 2 die? and how far are you sure those guys are infected? But they can still live, can't they?? U may die of malaria and the other of AIDS, so wht?
Having said just tht:Acheni kuwadhalilisha watu bwanaWE SHOULD TAKE CARE THOUGH
 



Pole Mrembo.

SAHIBA.
 
Vizuri Sana, wanaambiwa ngono mbaya hawasikii, sisi husema ''kiranga komo''.

Matangazo ya ukimwi kila kukicha, mapadiri, mashehe, mabango, mashuleni, vyuoni, mahospitalini tunayaona lakini hatusikii? hatuoni? au ndio ''SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA?''

Kama ni kweli basi astahili yao, kwani mtoto akichezea wembe...

Kama si kweli basi iwe ni onyo kwao na kwetu pia. Tuwache ngono za haramu, tuoane ki-halali, tupime, tutulizane na wake na waume zetu. Wala tusijidanganye kuwa kuna ngono salama, sijuwi ukitumia condom inasaidia, hakuna. Kama unakipele mwilini au mchubuko na huyo unae jamiiana nae hali kadhalika ana mchubuko? utavaa condom ya mwili mzima?
 
Kama list hii iko sahihi basi tumekwisha...hili jamaa noma nomaaaa....
 
Hiyo List ya kizushi....hata kama kama huyo Liumba ana pesa kiasi hicho..ina maana halikwa hafanyi kazi na muda wote ilikuwa kuchapa mabinti na wanawake tu??? I find this bullshit......sikatai kwamaba list yote ni feki...lakini too much exageration....List hiyo pia italeta athari kubwa sana hasa kwa wana ndoa wanaonekana kwenye list hiyo hata kwa wapenzi wa kawaida.....

The list is bullshit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…