Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Kum-'PM' mtu maana yake ni nini? tusaidieni na wenzenu tujue
Kum-'PM' ni kumtumia mtu ujumbe private.....au unatuma ujumbe binafsi hapa hapa JF kuna kachumba kasiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kum-'PM' mtu maana yake ni nini? tusaidieni na wenzenu tujue
Kum-'PM' ni kumtumia mtu ujumbe private.....au unatuma ujumbe binafsi hapa hapa JF kuna kachumba kasiri.
Na inawezekana kawapata wengi kwani masistadu wapenda RAHA na ujiko nafikiri alikuwa anatongoza kirahisi tu--PESA TU. Na Ukimwi kwa mtindo huu hautaisha wala kupungua.
Bimkubwa ulibahatika kupata huo ujumbe?
.
Hapo patamu kweli kweli kweli, kamuambikiza binti yake indirect.
Kumbe mtu unaweza kumuambukiza kaka, dada na mzazi wako kwa mtindo huo
Hi guys !!!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa
ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata
kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa
kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi mtumwagie,,,ninachofahamu
alielekea hospital ya aghakhan na baadae kuruhusiwa,,kutokana na pressure na kisukari,,,
mie """chichemi"""
Mshahara wa dhambi ni mauti!
mzunguko wa fedha kwa dada zetu utapungua......bail yake ni kiaso gani?
"Mshahara wa dhambi ni mauti".....the least I can say.
Sidhani kama "Mshahara wa dhambi ni mauti" ..... ina maana watu wote wanaokufa wana dhambi?
Ndo maana yake...
Naona imekuwa kama fasheni vile:chupa za maji spesho mkononi kwa kila fisadi apandishwaye kizimbani!...labda wanauhakika wa kuendelea kuyanywa hata watakapokuwa 'kifungoni'