Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa!

Jibu swali acha kupanic we mtoto
Kuwa mwangalifu, unaweza kuchangia bila kutukana na bado michango yako ikasomwa tu, JF haikuja ili Wajinga waitumie, Pombe za bei rahisi zitakudhalilisha, Usitafute sifa kwa ID fake
 
Ila wanawake akili zao kama kondoo... Esther kitambo sana kazishika hela. Ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuwa na hizi english medium schools kule Arusha. Mwaka 2000 nakumbuka alikuwa na Jue Junior primary school. Nashindwa kuelewa alitoa wapi tamaa tena hadi kuliwa na Liyumba??!!
 
Sijui tamaa au nini na walijuwa kabisa yule mzee ndy vile tena

Ova
 
Ila wanawake akili zao kama kondoo... Esther kitambo sana kazishika hela. Ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuwa na hizi english medium schools kule Arusha. Mwaka 2000 nakumbuka alikuwa na Jue Junior primary school. Nashindwa kuelewa alitoa wapi tamaa tena hadi kuliwa na Liyumba??!!
Basi tu status issues
 
Back
Top Bottom