Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren

Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?
 
Hata watoto wa Museven walizaliwa na kuishi Tanzania na Kenya wakati Baba yao anapigania Ukombozi Uganda. Muhoozi kazaliwa na kasoma DIS Tanzania.
 
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren

Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?
Watanzania wengi bado wanadhani kuwa watoto wa watu maarufu au viongozi wakiishi nje ya nchi siyo uzalendo.

Hawaelewi kuwa hata Mtoto wa Xi Jingping kasoma Havard na watoto wa wajomba wa huu utawala huko Oman wengi wao wako USA na Canada
 
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren

Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?
Unataka waje muwapoteze? Try to think out of the box. If you can!
 
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren

Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?
Hata mtu akitaka kwenda vitani anawaacha watoto na familia yake sehemu salama ili ata akienda kufa afe yeye pekeake familia ibaki.

Ndomana wanajeshi huenda vitani wao kama wao ila familia zao zinabak sehem salama.

Wewe mtanzania ni sawa na raia wa Congo, subiri wengine wapambane kwasabab yako na najua mwishon ukishaanza kuona dalili za ushindi utaanza kujiunga na wapambanaji taratibu na kuwapongeza.
 
Sababu wewe hufanyi wanachofanya LEMA na LISU.

Je wewe unafanya wanachofanya hawa miamba.
 
Mwamba anajuta kuanzisha uzi na kingereza chake cha chooni. Kapigwa comments za uso mwanzo mwisho

Futa huu uzi fala wewe
 
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren

Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?

Viongozi wengi wa Africa watoto wao wako nje ya inchi

But why ujashangaa kiongozi wa umma kununua kiwanja kwa bilion 2?

Au hili kwako ni poa tu
 
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren

Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?

..maana yake wameona hapa Tanzania maisha ni magumu, au usalama wao unaweza kuwa hatarini.

..hizo familia zilikuwepo hapa Tanzania mpaka pale Lissu alipopigwa risasi, na Lema alipotishiwa maisha.
 
Back
Top Bottom