Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

Kuna hilo tatizo mkuu, machief wote wa moi akina dr mcharo, prof musseru nk au kule gyn kweli sasa hivi ndo wanashidwa hizi cases ndogo ndogo hivi..?!

tatizo wanapata raha sana wanaposema madaktari wa muhimbili wameshindwa!! huyu ameenda south wakatoa uterus na ovaries anaona kapona kumbe NO ORGAN NO PATHOLOGY!! wabongo walikuwa wanamfikiria na kwamba hajazaa, umri wake nk!! sasa hivi ndio anajiuliza kuhusu kupata mtoto!!!

Wadada kaeni mkijua kwamba kutoa mimba ni sababu mojawapo ya Endometriosis!!
 

Source???
 

kumbeeeeee!!!!
 
nimewah kumsikiliza huko nyuma alisema kua ugonjwawake ulianza pindi alipovunja ungo alikua na maumivu yaliopitiliza kila mwezi.
 
Mimba kutolewa na unprofessional doctor zinang'oa vizazi ila abortion kusababisha endometriosis huu ni uongo

kuna wakati abortion inapofanyika inatokea perforation kwenye uterus kuunganisha na peritoneum. Kama sehemu iliyotobolewa ni ndogo itajiziba yenyewe lakini with minimal leakage ya uterine contents nje.

kama tundu ni kubwa husababisha peritonitis ambayo itahitaji upasuaji. uterine content zilizoleak kwenye layers za matumbo kama ni zile zinazohusika na mp zitakuwa zinaleta shida kwani zitakuwa zinarespond kwa hormones wakati wa mp.

hii inakuwa kama inavyotokea retrograde menstruation.
 

Mkuu km una hio source au medical journal tupe tukaongeze maujuzi,hapa sijakupata na nikigogle kuhusu endometriosis inaniambia abortion does not cause it
 
Labda atakuwa mtafiti wa kwanza kugundua hivyo! Watu hawajisikii hata vibaya kusema uongo inashangaza sana.

Unahitaji kujua maana ya Endometriosis

The word endometriosis comes from the Greek endon meaning "within" and the Greek metra meaning "uterus", akin to Greek meter meaning "mother". The word osis comes from the Greek and/or Latin suffix meanings "affected with, condition, abnormal process".

Endometriosis is a condition in which cells that are normally found inside the uterus (endometrial cells) are found growing outside of the uterus. That is, the lining of the inside of the uterus is found outside of it. Endometrial cells are the cells that shed every month during menstruation, and so endometriosis is most likely to affect women during their childbearing years. The cellular growth is not cancerous, but benign. Though there are not always symptoms, it can be painful and lead to other problems.

The lining of the uterus consists of a type of tissue called endometrium - composed of endometrial cells - that thickens each month to prepare for an egg. It is here where an egg cell implants and grows if it is fertilized. If an egg is not fertilized, the endometrium breaks down and exits the body during the menstrual period.

Endometrial cells that grow outside of the uterus - usually on the ovaries, fallopian tubes, outer wall of the uterus, or intestines - are called implants. However, these implants follow the same pattern as the endometrium lining the uterus of getting thicker, breaking down, and bleeding. Problems occur because these growths are outside of the uterus, and the blood cannot flow out of the body. This can lead to the formation of scar tissue and cysts as well as difficulties getting
 
Maana yake endometrial cells zinatunga nje ya mfuko wa uzazi..... Kwa iyo abortion Haina uhusiano na endometriosis.... Japo inaweza leta utasa
 
memeapa,

Nimeshasoma yoteeee hayo ulio copy kwa kifupi endometriosis haisababishwi na utoaji mimba full stop! Chanzo chake hakijulikani umenielewa mkuu? Unless wewe Uwe mtafiti wa kwanza kugundua inasababishwa na utoaji mimba.
 
Last edited by a moderator:
memeapa,

Kwanza unatakiwa ujue kitu gani napinga kabla ya kuniletea maelezo marefuuu! Endometriosis inaweza kusababisha utasa lakini haisababishwi na utoaji mimba, got it? Niambie wapi Katika maelezo hayo wamesema utoaji mimba ndio chanzo chake?
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwanini kati wa wanawake wasio weza pata watoto ninaowajua karibu wote ni wanaojiweza kimaisha siyo machokest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…