Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

mie sielewi kwanini tunalazania bidonge na njia nyingine za uzazi kwa wasichana wa kike.mie naona angesema njia zote mbaya cha msingi ni kusubiri mpaka watakapoingia kwenye ndoa ndipo waamue. naona anasisitiza vidonge labda anasababu 😡
 
Huwa nawaza sana ninapomsikiliza huyu dada.
Nakuwa na mawazo mengi sana.
Pia najiuliza ni nini chanzo cha huo utasa?
Inawezekana kuna makosa yalifanyika au ni vipodozi au ni madawa au ni Mungu.
Angetuweka wazi ili tahadhari ichukuliwe kwa vizazi vya kesho.

Mpeni pole. Mtieni moyo pia. Inasikitisha.
 
Hakuna mahali mimba zinatolewa km Europe mpaka pro life wanaandamana na vizazi haviharibiki wala nini,huko bongo labda ukimeet doctor ambayr ni unprofessional. ...kutoa mimba hakuharibu kizazi period!

Mhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Mtoa mada upo sahihi asilimia nyingi ila sijui ni ngapi? H.M namfahamu fahamu kupitia shangazi yangu Cecilia ambaye ni rafiki yake wa siku nyingi. H.M kabla hata hajaanza kushiriki miss tz, ana makubwa kidogo yana azavali. Lakini alibadilika alipokuja kuwa public figure. Acheni kabisa H.M ana experience ya maisha ya anasa hata kabla hajawa super staa, baada ya kuwa super staa ndiyo akaanza kuji treat vizuri.
kwani kuwa na maisha ya anasa ni sababu ya kujustify kwamba H.M alifany abortion??
 
Endometriosis ni ugonjwa unaofanya mtu apate tabu kushika mimba,unakua diagnosed by heavy painful periods treatment kucontrol sio kutibu ndio kuna vidonge vya uzazi vinavyotoa hormone.

Dada wa watu amefunguka ili watu wasikae tu majumbani na kuvumilia watoke wawaone madaktari afu anatokea mbulula km huyu.

That's true mkuu!, tukubalian kwamb hili tatiizo kitaalam lipo na jamii ielewe ivo.Tuachane na habar za kuhisi.
 
That's true mkuu!, tukubalian kwamb hili tatiizo kitaalam lipo na jamii ielewe ivo.Tuachane na habar za kuhisi.

Hakuna aliyesema halipo, ambacho hatujui mpaka sasa ni kwamba linasababishwa na nini? ndio maana tunahisi kwamba kama vidonge vya kuzuia mimba ni kinga? basi inawezekana Mimba ndio chanzo, na kuhusu mimba uwezekano mkubwa ni utoaji mimba na sio kushika mimba na kuzaa.
 
sawa mkuu,lakin tukubaliane kwamba,kuna watu hawakuwai toa mimba wala kutumia vidonge but still ilo tatizo wanalo.Sasa kwa nini kwa H.M uhisi ni mimba?
 
sawa mkuu,lakin tukubaliane kwamba,kuna watu hawakuwai toa mimba wala kutumia vidonge but still ilo tatizo wanalo.Sasa kwa nini kwa H.M uhisi ni mimba?

Inategemeana na maana ya kutoa mimba, mtu anaweza kutoa mimba kwa makusudi tu, haitaki kwa sababu nyingi tu, na anaweza kutoa mimba kwa bahati mbaya,labda kaugua na kutumia dosage isiyo sahihi na kupelekea mimba kuharibika, lakini pia mimba inaweza kuharibika tu, Happy mwenyewe anasema amekwishapata mimba kadhaa na zikaharibika.

sasa sielewi hili tatizo linasababisha mwanamke asishike mimba kabisa au linasababisha mimba kuharibika?
 
Causes
By Mayo Clinic Staff

Although the exact cause of endometriosis is not certain, several possible explanations include:

Retrograde menstruation. This is the most likely explanation for endometriosis. In retrograde menstruation, menstrual blood containing endometrial cells flows back through the fallopian tubes and into the pelvic cavity instead of out of the body.

These displaced endometrial cells stick to the pelvic walls and surfaces of pelvic organs, where they grow and continue to thicken and bleed over the course of each menstrual cycle.

Embryonic cell growth. The cells lining the abdominal and pelvic cavities come from embryonic cells. When one or more small areas of the abdominal lining turn into endometrial tissue, endometriosis can develop.

Surgical scar implantation. After a surgery, such as a hysterectomy or C-section, endometrial cells may attach to a surgical incision.
Endometrial cells transport. The blood vessels or tissue fluid (lymphatic) system may transport endometrial cells to other parts of the body.

Immune system disorder. It's possible that a problem with the immune system may make the body unable to recognize and destroy endometrial tissue that's growing outside the uterus.
 
symptoms
The primary symptom of endometriosis is pelvic pain, often associated with your menstrual period. Although many women experience cramping during their menstrual period, women with endometriosis typically describe menstrual pain that's far worse than usual. They also tend to report that the pain has increased over time.

Common signs and symptoms of endometriosis may include:

Painful periods (dysmenorrhea). Pelvic pain and cramping may begin before and extend several days into your period and may include lower back and abdominal pain.
Pain with intercourse. Pain during or after sex is common with endometriosis.
Pain with bowel movements or urination. You're most likely to experience these symptoms during your period.
Excessive bleeding. You may experience occasional heavy periods (menorrhagia) or bleeding between periods (menometrorrhagia).
Infertility. Endometriosis is first diagnosed in some women who are seeking treatment for infertility.
Other symptoms. You may also experience fatigue, diarrhea, constipation, bloating or nausea, especially during menstrual periods.

The severity of your pain isn't necessarily a reliable indicator of the extent of the condition. Some women with mild endometriosis have extensive pain, while others with advanced endometriosis may have little pain or even no pain at all.

Endometriosis is sometimes mistaken for other conditions that can cause pelvic pain, such as pelvic inflammatory disease (PID) or ovarian cysts. It may be confused with irritable bowel syndrome (IBS), a condition that causes bouts of diarrhea, constipation and abdominal cramping. IBS can accompany endometriosis, which can complicate the diagnosis.
When to see a doctor

See your doctor if you have signs and symptoms that may indicate endometriosis. The cause of chronic or severe pelvic pain may be difficult to pinpoint. But discovering the problem early may help you avoid unnecessary complications and pain.
 
Hakuna aliyesema halipo, ambacho hatujui mpaka sasa ni kwamba linasababishwa na nini? ndio maana tunahisi kwamba kama vidonge vya kuzuia mimba ni kinga? basi inawezekana Mimba ndio chanzo, na kuhusu mimba uwezekano mkubwa ni utoaji mimba na sio kushika mimba na kuzaa.

No research, No right to speak.
 
Huwa nawaza sana ninapomsikiliza huyu dada.
Nakuwa na mawazo mengi sana.
Pia najiuliza ni nini chanzo cha huo utasa?
Inawezekana kuna makosa yalifanyika au ni vipodozi au ni madawa au ni Mungu.
Angetuweka wazi ili tahadhari ichukuliwe kwa vizazi vya kesho.

Mpeni pole. Mtieni moyo pia. Inasikitisha.

Mnataka aweke wazi kitu gani mbona viumbe mmefanya roho zenu ngumu kuelewa ! Ameshalizungumzia sana tatizo lake ila ninyi mmevifanya vichwa vyenu vigumu, mnataka msikie yalio mioyoni mwenu! Walimwengu mna mambo.
 
Hahaaa inaelekea hio interview ilikuwa kwa lugha ya kikristu mtoa mada alitoka kapa tunuelimisha afu anajifanyaja mjuaji msonyooo
 
Ni kweli,... Leta research results zako, kisababishi ni nini? mahusiano na mimba ni nini?

Kwan nilikuambia vitu vya kuhisi hisi Kama wewe mkuu mpaka nilete research zangu?!
 
Ivi watu maarufu wote inakuwaje madaktari wa muhimbili wanashindwa kuwatibu, mimi nmefindishwa kuhusu huo ugonjwa ni rare cases lakini naujua, iweje madaktari bigwa wa pale muhimbili washidwe kujua, kuna mwingine anasema walishidwa ku-diagnose fracture ambayo hata clinical officer ana doagnose

watanzania wengi wanaopenda umaarufu kupitia vyombo vya habari ndivyo walivyo. hata komba alisema amefanyiwa oparation ya nyonga india baada ya moi kushindwa. mimi mwenyewe nilikuwepo siku anapoomba apewe referal kwenda india ili alipwe per diem yeye na mke wake. Yule dr alimkatalia kwamba hawezi kufanya upuuzi huo.
 
Kuna hilo tatizo mkuu, machief wote wa moi akina dr mcharo, prof musseru nk au kule gyn kweli sasa hivi ndo wanashidwa hizi cases ndogo ndogo hivi..?!
 
Back
Top Bottom