sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,059
Siyo dhambi mkuu, ka experience na ndiyo maana anawaasa kwa hisia mno hao ma binti wa leo wanavyopenda short cut
Nimekusoma kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo dhambi mkuu, ka experience na ndiyo maana anawaasa kwa hisia mno hao ma binti wa leo wanavyopenda short cut
Hakuna mahali mimba zinatolewa km Europe mpaka pro life wanaandamana na vizazi haviharibiki wala nini,huko bongo labda ukimeet doctor ambayr ni unprofessional. ...kutoa mimba hakuharibu kizazi period!
Mhhhhhhhhhhhhhhhhh
kwani kuwa na maisha ya anasa ni sababu ya kujustify kwamba H.M alifany abortion??Mtoa mada upo sahihi asilimia nyingi ila sijui ni ngapi? H.M namfahamu fahamu kupitia shangazi yangu Cecilia ambaye ni rafiki yake wa siku nyingi. H.M kabla hata hajaanza kushiriki miss tz, ana makubwa kidogo yana azavali. Lakini alibadilika alipokuja kuwa public figure. Acheni kabisa H.M ana experience ya maisha ya anasa hata kabla hajawa super staa, baada ya kuwa super staa ndiyo akaanza kuji treat vizuri.
Endometriosis ni ugonjwa unaofanya mtu apate tabu kushika mimba,unakua diagnosed by heavy painful periods treatment kucontrol sio kutibu ndio kuna vidonge vya uzazi vinavyotoa hormone.
Dada wa watu amefunguka ili watu wasikae tu majumbani na kuvumilia watoke wawaone madaktari afu anatokea mbulula km huyu.
That's true mkuu!, tukubalian kwamb hili tatiizo kitaalam lipo na jamii ielewe ivo.Tuachane na habar za kuhisi.
Hakuna aliyesema halipo, ambacho hatujui mpaka sasa ni kwamba linasababishwa na nini? ndio maana tunahisi kwamba kama vidonge vya kuzuia mimba ni kinga? basi inawezekana Mimba ndio chanzo, na kuhusu mimba uwezekano mkubwa ni utoaji mimba na sio kushika mimba na kuzaa.
sawa mkuu,lakin tukubaliane kwamba,kuna watu hawakuwai toa mimba wala kutumia vidonge but still ilo tatizo wanalo.Sasa kwa nini kwa H.M uhisi ni mimba?
Hakuna aliyesema halipo, ambacho hatujui mpaka sasa ni kwamba linasababishwa na nini? ndio maana tunahisi kwamba kama vidonge vya kuzuia mimba ni kinga? basi inawezekana Mimba ndio chanzo, na kuhusu mimba uwezekano mkubwa ni utoaji mimba na sio kushika mimba na kuzaa.
Huwa nawaza sana ninapomsikiliza huyu dada.
Nakuwa na mawazo mengi sana.
Pia najiuliza ni nini chanzo cha huo utasa?
Inawezekana kuna makosa yalifanyika au ni vipodozi au ni madawa au ni Mungu.
Angetuweka wazi ili tahadhari ichukuliwe kwa vizazi vya kesho.
Mpeni pole. Mtieni moyo pia. Inasikitisha.
Ni kweli,... Leta research results zako, kisababishi ni nini? mahusiano na mimba ni nini?
Ivi watu maarufu wote inakuwaje madaktari wa muhimbili wanashindwa kuwatibu, mimi nmefindishwa kuhusu huo ugonjwa ni rare cases lakini naujua, iweje madaktari bigwa wa pale muhimbili washidwe kujua, kuna mwingine anasema walishidwa ku-diagnose fracture ambayo hata clinical officer ana doagnose
Kuna hilo tatizo mkuu, machief wote wa moi akina dr mcharo, prof musseru nk au kule gyn kweli sasa hivi ndo wanashidwa hizi cases ndogo ndogo hivi..?!watanzania wengi wanaopenda umaarufu kupitia vyombo vya habari ndivyo walivyo. hata komba alisema amefanyiwa oparation ya nyonga india baada ya moi kushindwa. mimi mwenyewe nilikuwepo siku anapoomba apewe referal kwenda india ili alipwe per diem yeye na mke wake. Yule dr alimkatalia kwamba hawezi kufanya upuuzi huo.