Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,659
Jana nimemsikiliza Happiness Magese Clouds TV, anadai anafanya awareness ya tatizo la uzazi ambalo amekumbana nalo yeye binafsi, anadai anafanya hivyo kwa sababu anaamini wamama wengi wa kiafrica wanasumbuliwa na tatizo hilo.

Happiness alikwenda mbali na kudai kwamba aina hiyo ya tatizo ambalo kwake lilibainika huko Africa Kusini ndio kwanza madaktrari wetu pale Muhimbili wanajifunza, sikuelewa wanajifunza ili kuwa aware au wanajifunza namna ya kutoa tiba.

Mimi kama Mzazi niliguswa sana na kipindi kile, maelezo yake pamoja na ya mtangazaji, sikumbi jina la ugonjwa lakini mjadala wao ulipanuka na kuwa wa kijamii zaidi, lilienda mpaka kwenye maswala ya vidonge vya uzazi wa Mpango, ambapo ndugu mtangazaji alielezea juu ya malalamiko ya mwanamama kutoka Morogoro aliyedai kwamba vidonge hivyo vimemzuru,

mwanamama huyo alikuwa analalamika kwamba Promotion ya vidonge hivyo ambayo ilikuwa imetoka kufanywa na Flora Mbasha inapotosha watu, sababu yeye Binafsi vidonge hivyo vimemzuru. Spora, mtangazaji wa kipindi hicho akadai yeye binafsi alipomuuliza flora juu ya madhara ya dawa hizo alisema haelewi kama zina madhara yeye alikuwa anafanya promotion tu.

Hoja ya dada Magese ilikuwa kwamba, vidonge hivyo vinaweza kupunguza uwezekano wa kupata tatizo la namna hiyo, na kuhusu madhara ya vidonge hivyo alicounter kwa kudai kila kitu kina madhara, akajaribu kuelezea namna condom zisivyo na tija katika kumkinga mwanamke n.k

Kwa kifupi, tatizo husika litampelekea Happiness asiweze kuzaa mtoto maishani mwake.

Sasa basi, wakati namshauri Happiness aliwasilishe tatizo lake kwa Mwenyezi Mungu, akamlilie na kuzungumza nae, ni kivipi amemtengeneza Mwanamke alafu ashindwe kupata mtoto? Lakini ajiandae kwa majidiliano Mazito na Mungu wake, naamini kwa wingi wa wema wake na mapenzi yake kwetu waja wake, Mwenyezi Mungu atampatia sio tu mtoto bali watoto kwa zaidi ya haja za moyo wake.

Hoja yangu ni Kwamba, Katika Mjadala husika, kitu ambacho hakikusemwa ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi ni Kwamba, moja ya chanzo kikubwa sana cha wanawake wa kizazi hiki kushindwa kupata watoto ni MATOKEO YA MIMBA NYINGI SANA WALIZOTOA HUKO NYUMA.

KUMBUKUMBU
Happiness binafsi alisema amekuwa akipata mimba lakini zinaharibika.

Tuseme Ukweli kuokoa jamii yetu.
 
Kwa hiyo una maana ugonjwa huo umempata kwa kutoa mimba?
 
akubali kuachana na lifestyle yake na amrudie mungu tu
 
Jana nimemsikiliza Happiness Magese Clouds TV, anadai anafanya awareness ya tatizo la uzazi ambalo amekumbana nalo yeye binafsi, anadai anafanya hivyo kwa sababu anaamini wamama wengi wa kiafrica wanasumbuliwa na tatizo hilo.

Happiness alikwenda mbali na kudai kwamba aina hiyo ya tatizo ambalo kwake lilibainika huko africa kusini ndio kwanza madaktrari wetu pale muhimbili wanajifunza, sikuelewa wanajifunza ili kuwa aware au wanajifunza namna ya kutoa tiba.

Mimi kama Mzazi niliguswa sana na kipindi kile, maelezo yake pamoja na ya mtangazaji, sikumbi jina la ugonjwa lakini mjadala wao ulipanuka na kuwa wa kijamii zaidi, lilienda mpaka kwenye maswala ya vidonge vya uzazi wa Mpango, ambapo ndugu mtangazaji alielezea juu ya malalamiko ya mwanamama kutoka Morogoro aliyedai kwamba vidonge hivyo vimemzuru, mwanamama huyo alikuwa analalamika kwamba Promotion ya vidonge hivyo ambayo ilikuwa imetoka kufanywa na Flora Mbacha inapotosha watu, sababu yeye Binafsi vidonge hivyo vimemzuru. Spora, mtangazaji wa kipindi hicho akadai yeye binafsi alipomuuliza flora juu ya madhara ya dawa hizo alisema haelewi kama zina madhara yeye alikuwa anafanya promotion tu.

Hoja ya dada Magese ilikuwa kwamba, vidonge hivyo vinaweza kupunguza uwezekano wa kupata tatizo la namna hiyo, na kuhusu madhara ya vidonge hivyo alicounter kwa kudai kila kitu kina madhara, akajaribu kuelezea namna condom zisivyo na tija katika kumkinga mwanamke n.k

Kwa kifupi, tatizo husika litampelekea Happiness asiweze kuzaa mtoto maishani mwake.

Sasa basi, wakati namshauri Happiness aliwasilishe tatizo lake kwa Mwenyezi Mungu, akamlilie na kuzungumza nae, ni kivipi amemtengeneza Mwanamke alafu ashindwe kupata mtoto? Lakini ajiandae kwa majidiliano Mazito na Mungu wake, naamini kwa wingi wa wema wake na mapenzi yake kwetu waja wake, Mwenyezi Mungu atampatia sio tu mtoto bali watoto kwa zaidi ya haja za moyo wake.

Hoja yangu ni Kwamba, Katika Mjadala husika, kitu ambacho hakikusemwa ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi ni Kwamba, moja ya chanzo kikubwa sana cha wanawake wa kizazi hiki kushindwa kupata watoto ni MATOKEO YA MIMBA NYINGI SANA WALIZOTOA HUKO NYUMA.

KUMBUKUMBU
Happiness binafsi alisema amekuwa akipata mimba lakini zinaharibika.

Tuseme Ukweli kuokoa jamii yetu

Kama umefuatilia vema kisa cha Happiness utakuwa umesoma kuwa toka alipovunja...ungo alianza kupata dalili Za maumivu makali kwenye hadhi hadi Kuzimia ....ni wazi matatizo yake ni ya kuzaliwa unless unataka kutuambia kuwa Happy alianza kutoa Mimba hata kabla hajaaza hedhi ( kabla akiwa na miaka 12 )
 
Kwa hiyo una maana ugonjwa huo umempata kwa kutoa mimba?

kwamba alichezea kizazi chake ujanani, hivi sasa anavuna alichopanda.
Ndicho anacho doubt mtoa mada kwamb H.M anawaficha.

Hata mimi nahisi hivyo ndivyo. Awe wazi atuambie ni nini alikosea.?
 
Kwa nini binadamu wanapenda kuhukumu kwa kutumia hisia???

Wewe unawezaje kuverify kwamba maelezo yake yote ni sawa, mimi kilichonisukuma kuandika hapa ni namna alivyokuwa akielezea, kwanza alikuwa akielezea kama vile ni mtalaamu mpaka dakika za mwisho aliposema kwamba ikumbukwe yeye sio Daktari, lakini kabla ya hapo tayari alikuwa amekwisha sababisha hofu kubwa sana.

Nilikuwa naangalia kipindi hicho na familia yangu, niliiona tension waliyokuwa nayo mabinti pale ndani, ni mpaka nilipouanzisha mada hiyo tena na kuijadili kwa mapana zaidi ambapo kimsingi, wadada walikiri utoaji wa mimba ni chanzo kikubwa zaidi cha uharibifu wa kizazi.

Yeye kama anaweza ajaribu kukumbuka historia ya maisha yake maeneo ya kigogo, inaweza kumsaidia pia, lakini hakuna anayehukumu hapa.
 
kwamba alichezea kizazi chake ujanani, hivi sasa anavuna alichopanda.
Ndicho anacho doubt mtoa mada kwamb H.M anawaficha.

Hata mimi nahisi hivyo ndivyo. Awe wazi atuambie ni nini alikosea.?

Kuna vitu vyengine ombea viwatokee wengine ila visikutokee wewe.usingesema hivyo kama vipi kaa kimya usionyeshe upumbavu wako.
 
punguza mapovu. Mwisho wa siku a come clean ili wadogo zake wasimeze madonge, kuchoma masindano,na ma nini sijui. Mwajua wenyewe.
 
Ni Kweli Wamasma Na Wadada Wengi Huwa Hawasemi Ukweli Wote...Tunaishia Tu Kusema "Uzazi Wa Siku Hizi Mgumu'...Tunatoa MaTerminologies Ya Kitabibu Weeeeh But Deep Inside We Know The Causing isssSh.....Aint Judging Tho'
 
Mtoa mada upo sahihi asilimia nyingi ila sijui ni ngapi? H.M namfahamu fahamu kupitia shangazi yangu Cecilia ambaye ni rafiki yake wa siku nyingi. H.M kabla hata hajaanza kushiriki miss tz, ana makubwa kidogo yana azavali. Lakini alibadilika alipokuja kuwa public figure. Acheni kabisa H.M ana experience ya maisha ya anasa hata kabla hajawa super staa, baada ya kuwa super staa ndiyo akaanza kuji treat vizuri.
 
Jana nimemsikiliza Happiness Magese Clouds TV, anadai anafanya awareness ya tatizo la uzazi ambalo amekumbana nalo yeye binafsi, anadai anafanya hivyo kwa sababu anaamini wamama wengi wa kiafrica wanasumbuliwa na tatizo hilo.

Happiness alikwenda mbali na kudai kwamba aina hiyo ya tatizo ambalo kwake lilibainika huko Africa Kusini ndio kwanza madaktrari wetu pale Muhimbili wanajifunza, sikuelewa wanajifunza ili kuwa aware au wanajifunza namna ya kutoa tiba.

Mimi kama Mzazi niliguswa sana na kipindi kile, maelezo yake pamoja na ya mtangazaji, sikumbi jina la ugonjwa lakini mjadala wao ulipanuka na kuwa wa kijamii zaidi, lilienda mpaka kwenye maswala ya vidonge vya uzazi wa Mpango, ambapo ndugu mtangazaji alielezea juu ya malalamiko ya mwanamama kutoka Morogoro aliyedai kwamba vidonge hivyo vimemzuru, mwanamama huyo alikuwa analalamika kwamba Promotion ya vidonge hivyo ambayo ilikuwa imetoka kufanywa na Flora Mbasha inapotosha watu, sababu yeye Binafsi vidonge hivyo vimemzuru. Spora, mtangazaji wa kipindi hicho akadai yeye binafsi alipomuuliza flora juu ya madhara ya dawa hizo alisema haelewi kama zina madhara yeye alikuwa anafanya promotion tu.

Hoja ya dada Magese ilikuwa kwamba, vidonge hivyo vinaweza kupunguza uwezekano wa kupata tatizo la namna hiyo, na kuhusu madhara ya vidonge hivyo alicounter kwa kudai kila kitu kina madhara, akajaribu kuelezea namna condom zisivyo na tija katika kumkinga mwanamke n.k

Kwa kifupi, tatizo husika litampelekea Happiness asiweze kuzaa mtoto maishani mwake.

Sasa basi, wakati namshauri Happiness aliwasilishe tatizo lake kwa Mwenyezi Mungu, akamlilie na kuzungumza nae, ni kivipi amemtengeneza Mwanamke alafu ashindwe kupata mtoto? Lakini ajiandae kwa majidiliano Mazito na Mungu wake, naamini kwa wingi wa wema wake na mapenzi yake kwetu waja wake, Mwenyezi Mungu atampatia sio tu mtoto bali watoto kwa zaidi ya haja za moyo wake.

Hoja yangu ni Kwamba, Katika Mjadala husika, kitu ambacho hakikusemwa ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi ni Kwamba, moja ya chanzo kikubwa sana cha wanawake wa kizazi hiki kushindwa kupata watoto ni MATOKEO YA MIMBA NYINGI SANA WALIZOTOA HUKO NYUMA.

KUMBUKUMBU
Happiness binafsi alisema amekuwa akipata mimba lakini zinaharibika.

Tuseme Ukweli kuokoa jamii yetu.

Pole zake H.M.
Lakini pia kwa kuanza kutumia njia za uzazi wa mipango kabla ya ndoa(katika maisha ya ujana yasio ya ndoa) hupelekea mirija ya uzazi kuziba na kushindwa kupata Mimba kabisa.

Utoaji Mimba pia uchangia.

Mapenz ya kinyume na maumbile.

Yote 9 kumi maisha ya mtu yamepangwa na Mungu. Wapo ambao hawajayafanya yote hayo lkn wanasumbuliwa na tatizo. Kwa Mungu hakuna tasa Naamini maisha ya H.M Mungu anayajua. Kukiri kwake katika moyo wake na kumliliaMungu wake(na si hadharani) kutamsaidia.

Mungu atamsaidia hakika.
 
Ivi watu maarufu wote inakuwaje madaktari wa muhimbili wanashindwa kuwatibu, mimi nmefindishwa kuhusu huo ugonjwa ni rare cases lakini naujua, iweje madaktari bigwa wa pale muhimbili washidwe kujua, kuna mwingine anasema walishidwa ku-diagnose fracture ambayo hata clinical officer ana doagnose
 
Back
Top Bottom