Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi ni mzima mwaya,nilikumiss sana hapa![emoji1]Poua mzma weye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mzima mwaya,nilikumiss sana hapa![emoji1]Poua mzma weye?
Jalibu kujkeep busyWhat to do niaifanye??
Utashinda katika yeye..Mungu nisaidie katika hili naanza na wewe naomba nimalize na wewe naamini ntashinda katika hili
AminaUtashinda katika yeye..
ahahaa hongera imenyooka au imepinda?Nimekutana nayo nitamu balaa
Mgome kusex mkifa na prostate cancer msitulilie na msituombe rambirambiWalahi utakufa na utamu wako![emoji41]
Ni kweli kabisa, hiyo ni njia bora ya kuepuka michebuko.Hongera mkuu,kweli ukiwa busy unajiepusha na mengi sana.
Kivipi tena Mkuu???Unastahili pongezi mkuu..
Kwa kuwa muaminifu kwa wifeKivipi tena Mkuu???
Tutafanikiwa mkuu,wakati Ni sasaLengo langu mojawapo2017!!
Shukrani Mkuu. Nampenda sana mke wangu.Kwa kuwa muaminifu kwa wife
Fursa inatafutwa,haiji ukiwa umekaa.Namaanisha ukitafuta utapata,ILA ukipuuza usitegemee kuipataUnayo sababu zaidi ya abstinence. Ni vile hukuipata tu hiyo fursa kwa sababu unazozijua au matatizo mengineyo.
Tanzania ya viwanda inakuja,milion50 znakuja,ngono ipumzke kwanza..Ngono Ngono Ngono.
Njaa Njaa Njaa.
Elimu Elimu Elimu.
Saizi yangu kabisaahahaa hongera imenyooka au imepinda?