Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Ev3e3333eev3e e. E...
iko iko veeem
Eeelllke. Me3eeeveeeeemvveeeeee3333eevve3eveeee3eeeeeeeeeelle3eeg3ee33e3eeeeeeeee
 
Lengo Ni kupeana mbinu mbadala za kushnda matamanio japo vishawishi Ni vingi.Inawezekana bila ngono,inawezekana bila michepuko,Inawezekana bila Musterbation. [HASHTAG]#UsipateUkimwi2017[/HASHTAG] [HASHTAG]#UsipigeNyeto2017[/HASHTAG] [HASHTAG]#Usitoe0713[/HASHTAG]..
Mkuu wengine tangu 2014 hatuja ona hiyo kitu!!
 
Hivi hatuwez survive bila ngono? Kweli? Au n ugumu upi huo unaomaanisha
Mkuu. Yaani usipofanya kwa muda mrefu chini panachemka na kuwasha kitandani kujigeuza hakuishi. Hapo lazima utafute ke na walivyowarahis siku hizi ni kuvuta tu na kumchapa nayo
 
Mkuu ilo n tatizo,sijamaanisha tusifanye kabsa,km unamchumba,mke,mme nk bas uaminifu utawale mahusiano yenu.Na sio kutofanya kbsa.Plz jitasmini upya
Mwenzako naogopa dhambi her nioe maana mim ndio ninayoibeba hiyo dhambi
 
Back
Top Bottom