Ndugu kuhesabiwa hakutakupunguzia chochote,!!
Kuhesabiwa imekuwa ni desturi ya enzi na enzi, na kuweka record nzuri tu ya nchi na watu wake!!
Achana na wajinga wachache wanaohamasisha upumbavu, kama unajielewa unaelewa umuhimu wa Takwimu kwa nchi!!
Jitahidi wewe na Kaya yako kutoa ushirikiano stahili kwenye hili zoezi!!