Ambao hatujahesabiwa na hatutahesabiwa tukutane hapa

Ambao hatujahesabiwa na hatutahesabiwa tukutane hapa

Ndugu kuhesabiwa hakutakupunguzia chochote,!!

Kuhesabiwa imekuwa ni desturi ya enzi na enzi, na kuweka record nzuri tu ya nchi na watu wake!!

Achana na wajinga wachache wanaohamasisha upumbavu, kama unajielewa unaelewa umuhimu wa Takwimu kwa nchi!!

Jitahidi wewe na Kaya yako kutoa ushirikiano stahili kwenye hili zoezi!!
Unaongea au Una halisha uharo
 
Jamani mjiandae kuhesabiwa. Mimi bado sijahesabiwa na sitahesabiwa.

Niko tayari kuhesabiwa endapo serikali itaweka wazi mfumo wake wa kuajiri B.O.T na TISS.

Kwenye issue za ajira muhimu wanabandika matangazo ya kazi ofisini kwao tu ila kwenye sensa na uchaguzi mpaka wahadzabe wanafikiwa.
Bure kabisa wewe
 
Back
Top Bottom