Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chisosKufua,kupika,kudeki,nk
Ngoja nifanye mpango nioe haraka.
Nunua na mashine ya kuoshea vyombo.kuosha vyombo... maana kufua nilijikaza nikanunua mashine
Rejea swali ulouliza na jibu nilokupa, sijakwambia unioe nimekwambia "naoa".Mwanamke unaoaje sas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewasitiri na mnaishi kama marafiki ndo maana na wao wanakuheshimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kupika aisee na kuosha vyombo usafi ni changamoto ndo maana nina panya wengi majiran wanajiuliza mbona hawaishi wakiuliwa na vyumba vya jirani bado wanakuja maana washatumia geto langu kama sehemu ya uzalishaj na usambazaj
Ila wanaheshima akija mchuchu hawatokei kabisa kunitunzia heshima
Ni uvivu tu mkuu mm sio mchafuWw sasa ni mchafu tu wa asili.
Ni uvivu tu mkuu mm sio mchafu
Siamini ktk ndoa mkuu. Mtoto yupo anakuja wikiend kufanya usafi[emoji16][emoji16][emoji16]oa tu mzte
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewasitiri na mnaishi kama marafiki ndo maana na wao wanakuheshimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]