Ambao hatujaoa.. Ni kazi ipi unaichukia zaidi home..

Ambao hatujaoa.. Ni kazi ipi unaichukia zaidi home..

Kupika aisee na kuosha vyombo usafi ni changamoto ndo maana nina panya wengi majiran wanajiuliza mbona hawaishi wakiuliwa na vyumba vya jirani bado wanakuja maana washatumia geto langu kama sehemu ya uzalishaj na usambazaj

Ila wanaheshima akija mchuchu hawatokei kabisa kunitunzia heshima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewasitiri na mnaishi kama marafiki ndo maana na wao wanakuheshimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena ni adui zangu wakubwa wananitafunia nyanya zangu [emoji35]... Ila dawa yao nawaandalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewasitiri na mnaishi kama marafiki ndo maana na wao wanakuheshimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi shida ni kuosha vyombo, kudeki na kutandika kitanda.

Kupika sio shida sana maana sipiki kama mwanamke eti vitu complicated na lazima nipike maana kula mgahawani ni mara moja1.

Kufua sio shida maana naweza kufua hata belo ila kuosha vyombo vingi siwezagi.

Kwa sababu sipendi kuosha vyombo vingi ilinibidi nivipunguze ili vikichafuka vyote viendelee kuwa vichache na uwezekano wa kuviosha kila siku ni 100% maana nisipoosha ntakosa vyombo vya kutia.
staki vyombo vingi ili nisivivundike vikichafuka
 
Back
Top Bottom