Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Shukran mkuu.
Samsung, Hotpoint,Beko, Whirlpool etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samsung, Hotpoint,Beko, Whirlpool etc
Nioekaaah uoe au uolewe[emoji16]
Kupika aisee na kuosha vyombo usafi ni changamoto ndo maana nina panya wengi majiran wanajiuliza mbona hawaishi wakiuliwa na vyumba vya jirani bado wanakuja maana washatumia geto langu kama sehemu ya uzalishaj na usambazaj
Ila wanaheshima akija mchuchu hawatokei kabisa kunitunzia heshima
Ukiwa na chura ndio unatakiwa uoe?Una chura?
Ningedhani vinaokotwa ningewaambia MNUNUE? Pambaneni vijana hivyo vitu vimejaa hata Kariakoo kama kufua,kuosha vyombo shida kanunuenianadhan vinaokotwa[emoji16]
Aisee!Kupika aisee na kuosha vyombo usafi ni changamoto ndo maana nina panya wengi majiran wanajiuliza mbona hawaishi wakiuliwa na vyumba vya jirani bado wanakuja maana washatumia geto langu kama sehemu ya uzalishaj na usambazaj
Ila wanaheshima akija mchuchu hawatokei kabisa kunitunzia heshima
Wewe ipo?Shepu ipo?