Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Chipsi ni chakula kisichokuwa na faida yeyote mwilini mwa mwanadamu, hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana.
Pale nyumbani kwangu wanakula japo siyo mara kwa mara inaweza kupita zaidi ya miezi mitano ndiyo wanakula, wanajua kabisa kwakipika hii kitu baba lazima wamtafutie chakula kingine.
Je! Wewe ni mmoja wao ambao haujawahi kula hii kitu?