Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
- Thread starter
- #21
Ume owa au umeolewa?Wanao watakuwa vilaza maana wanakula wanga daily. Ugali ni wanga, wali ni wanga, makande ni punje za ugali mgumu ambazo ni wanga, ndizi ni wanga. Hayo makande labda yanakuwa na maharagwe ambayo ni protein source ndogo.
Chips ni wanga vile viazi, havina tofauti na makande yako hayo. Sana sana unajivunia kula mbegu zenye maji na chumvi. Nilichogundua ni kwamba hujui aina za virutubisho, tatizo lako sio chips ila ni elimu ya lishe