Ambao hatujawahi kabisa kula chipsi tujuane hapa.

Ume owa au umeolewa?
 
Wanao ni wa me/ke? Usikute wananunuliwa huko mtaani wanaenda kula chumbani
 
Chips ni viazi vilivyo kaangwa usisahau hilo.

potato contains:

Calories: 265
Protein: 6 grams
Fat: 0 grams
Carbohydrates: 61 grams
Fiber: 4 grams
Sugar: 5 grams and more
 
Utakuta mleta mada nyumbani kwake anakula piza na baga lakini anaona chips ni mbaya. Na viazi mviringo anakula.
 
Si wanga tu kama ulivyo ugali sema tu hiki kimekaangwa. Hivyo kina faida zile za wanga mwilino, ikiwa chips yai inaambatana na protein, ukiongeza kachumbari utapata na vitamins humo humo. Faida ipo tu mkuu.
 
Sioni kama kuna chakula chenye shida duniani as long as kimeitwa Chakula, tatizo ni kwamba tunachokula kinalingana na utaratibu wetu wa maisha?
Mtoto wa kiume na unakuwa na ratiba kama za kike, safari ndogo tu bodaboda/bajaji/gari, huna ratiba ya kukutoa jasho hata moja isipokuwa joto la ndani au sex tu na yenyewe pia unafanya kwenye AC.
 
Ila nasikia chips hazina utamu wowote eti Ni kweli🤔
 
Ila nasikia chips hazina utamu wowote eti Ni kweli🤔
Mmh sijui kwa nn tu lakini ni kama vile picha, jina, text vyote vinaashiria huyu n chips enthusiast😂😂. Sijui.
 
Chipsi ni chakula kisichokuwa na faida yeyote mwilini mwa mwanadamu, hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana.
Binafsi nikiangaliaaaaaaaa, nikaaaangaliaaaaa huwa nahisi tumepigwa! tunapigwa

Nahisi kesi yooooote anayopewa chipsi, hata chipsi yai, hata chipsi kuku na nyama etc ni kwamba anaangushiwa jumba bovu.

Nahisi kesi yoooote ni kesi ya soda inayonywewa na hizo chipsi wala sio chipsi kama chipsi

Ndo maana nikijiskiaga mara moja moja nakulaga, nachagua yoyote nakula. Hadi chipsi yai nikijiskia kwani nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…