Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #21
Mkuu jiunge no fapNipo nawaza mademu tu
Safi Sana, mzee wa pool table.Hakuna kitu sipendi kama kufanya kitu Bila ufahamu wangu wa kawaida(utimamu wangu) hivyo pombe, sigara, na aina hio ya vilevi haitatokea.
Kitambo sana nipo ndani ya nofap japo nime relapse juzi ila naendelea na challenge,Mkuu jiunge no fap
Acha ubishi mkuu, jobless pro max natoa wapi hela ya kulewa๐ค๐คUongo... thibitisha..
We ni mwenyeji mkuu ID yako ya zamani ni ipi??Am not addicted to anything, that one straight i have.
1. Sijawai kunywa pombe ya aina yoyote hata kuonja,
2. Sijawai kuvuta sigara yoyote, labda makaratasi utotoni
3. Sijawai kubet na sijui
4. Sijawai kunywa energy drink yoyote
5.... Niiendelee niacheeeeeeee...
No fap ni nzuri mno, full ku escape matatizoKitambo sana nipo ndani ya nofap japo nime relapse juzi ila naendelea na challenge,
Shida ni kuwa rijali huwezi kukaa bila manzi, nofap nimejiunga ili nisijichululie sheria mkononi
Kwanini?We ni mwenyeji mkuu ID yako ya zamani ni ipi??
Mnakuwaga wambea wambea sana nyie na hamna michongo ya hela
Usijaribu hata kidogo,hatutaki upate wenda wazimu.Hata kuota sija wahi
Siku hizi Ume kuwa mkorofi bro๐ค๐We ni mwenyeji mkuu ID yako ya zamani ni ipi??
Ko we una kunywa ni mwendawazimu ehh??Usijaribu hata kidogo,hatutaki upate wenda wazimu.
Tena majobless ndio mnalewaga balaa kuondoa stress za kukosa ajira ๐Acha ubishi mkuu, jobless pro max natoa wapi hela ya kulewa๐ค๐ค
Energy nilisha wahi, kitamboo mnooAm not addicted to anything, that one straight i have.
1. Sijawai kunywa pombe ya aina yoyote hata kuonja,
2. Sijawai kuvuta sigara yoyote, labda makaratasi utotoni
3. Sijawai kubet na sijui
4. Sijawai kunywa energy drink yoyote
5.... Niiendelee niacheeeeeeee...
๐๐๐Hatuna HeLa za kulewea
Redbull nayo hujagusa?Am not addicted to anything, that one straight i have.
1. Sijawai kunywa pombe ya aina yoyote hata kuonja,
2. Sijawai kuvuta sigara yoyote, labda makaratasi utotoni
3. Sijawai kubet na sijui
4. Sijawai kunywa energy drink yoyote
5.... Niiendelee niacheeeeeeee...
Mwanamke ndo aliyenifanya kuanza kunywa pombe na mwanamke ndo aliyenifanya kuacha pombeNaongezea nasikia ni mabingwa wa kuchukua sheria mkononi
Hao si ma jobless, Wana jifichia chama chetu tu๐.Tena majobless ndio mnalewaga balaa kuondoa stress za kukosa ajira ๐