Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaa mkuu [emoji23]Kausha mkuu utaamsha waliolala
Si Ume sema Dem ali kuchanganya, so uka Anza tungi.Kwanini
Hapana mkuu, mi nimesema town, mimi sio mpwayungu nisije pata kosa la impersonationKo mkuu we ni mpwayungu village?
Tuondolee umamaAm not addicted to anything, that one straight i have.
1. Sijawai kunywa pombe ya aina yoyote hata kuonja,
2. Sijawai kuvuta sigara yoyote, labda makaratasi utotoni
3. Sijawai kubet na sijui
4. Sijawai kunywa energy drink yoyote
5.... Niiendelee niacheeeeeeee...
Safi kabisa,Mkuu na sito tumia
Shida una akili mbovu, Nisha sema sito wahi kunywa.Safi kabisa,
Ila ukihitaji tumia tu ile thread iliyotolewa ya "hakimu kufanya upuuzi" usiogope,ukihitaji ukilewa/kunywa toa taarifa police mapema.
Kakosea wapi tena 🤔😂Tuondolee umama
Tuondolee umama
Waliovuta bange jeKatika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe.
👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu.
Vipi Kuna wenzangu na mimi??
View attachment 2893067View attachment 2893068View attachment 2893069
Hawa hitajiki mkuu🤒Waliovuta bange je
Tuondolee umama,mwisho wa siku mnakuwa mchicha mwibaUwezo wako wa akili ni mdogo sana ndo mana wahitaji external stimulus zikuweke sawa
Basi baridi, hivi kuona majengo makubwa ni kweli🤔Tungi na sigara ctumiagi .ilaa mjani mara Moja Moja nagusa ki afsaaaaaa ,na ndio ktu nakimudu ktk vilevi vyote duniani
Nakusisitizia tu,kuwa makini .Shida una akili mbovu, Nisha sema sito wahi kunywa.
Dr Kama Dr😄😄Nisiwe muongo navuta bange na pombe kwa mbaali 🌝
Mlete demu wako nimchome na hiyo mibaTuondolee umama,mwisho wa siku mnakuwa mchicha mwiba
Bro mbona ume kazania, as if some ni walevi??Nakusisitizia tu,kuwa makini .
Mm nikiwa na stress huwa nikinyume chake nakula haswa mtu akiniona na kimwilimwili anajua mambo mazuri kumbe nina stress zinaniendeshaSi Ume sema Dem ali kuchanganya, so uka Anza tungi.
👉That means hata msosi huli😄
So poa, mi kwakwel pombe na sigara zimenipitia mbaliMimi nazigida kweli kweli sema mimoshi ndio siwezi