Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

Ningekuwa sinywi pombe sijui ningekuwa nafanya nini kustarehe,

Nahisi nijgekuwa naboreka sana.
 
Am not addicted to anything, that one straight i have.
1. Sijawai kunywa pombe ya aina yoyote hata kuonja,
2. Sijawai kuvuta sigara yoyote, labda makaratasi utotoni
3. Sijawai kubet na sijui
4. Sijawai kunywa energy drink yoyote
5.... Niiendelee niacheeeeeeee...
Wewe lazima utakuwa mwanamke maana hakuna mwanaume wa hivyo.
 
Mnakuwaga wambea wambea sana nyie na hamna michongo ya hela
Lina ukweli ndani yake ila tungi kwa asilimia 95majuto ni mengi kuliko furaha ni mhanga wa hii kitu ila kila nikijarib kujitoa nafeli ,pombe zinavisanga vyake bana asikuambie mtu broo nataman ningekua hivo kua maishani mwangu sikuwah tumia pombe ila ndio siwez hata nikiacha leo sitokua kama wale walioishi bila kuitumia kabisa
 
Nimevut sigara zote na kubwa
Pombe sana ila nime quit
Unga sijawahi
Gongo tayari
Pombe za kienyeji tayari
Mademu 1000+
Energy sana
Soda sana
Kubeti sana
Sala sana
Uganga nop
Kwa kifupi Nisha Fanya madhambi mengi,natubu now
 
Una eza uka acha mkuu, though huwezi kuwa mpya.
👉Ila change zita onekana
 
Nimevut sigara zote na kubwa
Pombe sana ila nime quit
Unga sijawahi
Gongo tayari
Pombe za kienyeji tayari
Mademu 1000+
Energy sana
Soda sana
Kubeti sana
Sala sana
Uganga nop
Kwa kifupi Nisha Fanya madhambi mengi,natubu now
Safi mkuu, mabadiliko chanya ni muhimu.
 
Back
Top Bottom