Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nipo hapa kilevi changu ni maji ya kunywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro mi hata sifikirii kujaribu, am just enjoying the way I liveNB;
Hatujawai kuishi trust me...
Hujawai kua mwanaume
Trust me 🙏🙏🙏
Mimi nimekullia familia ya uchumi wa Kati way back huko....
Mimi ni handsome japo age lime enda ukiniona Kwa sura first time unajua kua this guy is innocent people...
Ndio Mungu aliniumba ivyo
Leo una kataa tungi😄, akati huwa una sema ni vitu vyako🤣🤣Nipo hapa kilevi changu ni maji ya kunywa
He heKuna msosi, mpira, mieleka, movie, vitabu[emoji855]
Mzee wa shada huyo😄🤣Wakulungwa tumekuelewa😂
Hiki kicheko 😄🤣He he
Kwamba wanaovuta ni matajiri? PumbavuUnataka kuvuta Ila hela huna
Pombe siziwezi kabisa zinanikataa nikinywa hata Chupa 1 naumwa wiki nzimaNingekuwa sinywi pombe
Nimeacha kwa sababu ya vidonda vya tumbo kaka🤣😁😂😂Leo una kataa tungi😄, akati huwa una sema ni vitu vyako🤣🤣
Hawavuti bure wewe 100 tu inakushindaKwamba wanaovuta ni matajiri? Pumbavu
Sawa tajiriHawavuti bure wewe 100 tu inakushinda
Dah Kaka Analyse nime cheka mnoo😄🤣🤣, hi story ni kiboko😄.Situmii hivyo vitu, na sina mpango wa kuja kuvitumia. Nilishawahi onja pombe mara Moja, ila matokeo hayakuwa mazuri. Nikajiapia sitopata niiguse tena.
Upande wa sigara, kipindi nipo chalii tulikuwa na mtindo wa kusokota gazeti alafu tunavuta kama sigara. Mara nyingi tulifanya hivyo tukiwa shule na watoto wengine. Sasa kuna jumapili moja niko home, nikiwa jikoni nikasokota karatasi langu na kuvuta, mshua akaniona. Alinipiga makofi kadhaa ya haraka haraka, alafu pale jikoni kulikuwa na kinu Cha wastani hivi akakichukua na kunivisha kichwani.
Sharti ikawa sitakiwi kukivua kile kinu hata pawe na sababu gani. Uzuri nilikuwa nishakunywa chai tayari, ila siku hiyo mchana sikuweza kula, maana ilikuwa nikajaribu kula kile kinu kinanizidia uzito. Na nikikiangusha tu, nachezea wakofi yasiyo na idadi Wala mpangilio. Mwisho wa siku nikaamua kutulia tu. Mshua yupo kwenye kiti anasoma gazeti, Mimi nimekaa pembeni yake huku nimeshikilia kinu. Akitaka kitu ndani alikuwa hanitumi, ananyuka kufata mwenyewe na Mimi ananiambia nimfate, hivyo nazunguka tu na kinu changu.
Muda huo bi mkubwa kaenda church, lakini hadi muda ambao kawaida huwa anarudi, siku hiyo hakurudi, sijui hata alipitia wapi. Nakumbuka nilikivaa kile kinu tokea kwenye mida ya saa tatu asubuhi hivi mpaka kwenye saa nane au tisa mchana, na hapo ni baada ya a bi mkubwa kurudi. Kile kinu kilikuwa kimetoka kutwangia kisamvu, nilivyokivua nilikuwa nahisi harufu ya kisamvu kwenye Kila kitu kinachopita karibu yangu.
Mpaka leo hii tukiongelea sigara popote lazima niikumbuke Ile siku.
Usha Anza dharau na matusi🤔🙄, nusu albinooo angalia🤒Nyie ni pisikali
Sasa sisis hatuja wahi onja kabisa😆😆Nimeacha kwa sababu ya vidonda vya tumbo kaka🤣😁😂😂
Una hisi kazi inge fanyika😆Huwaga natamani sana ningekuwa meneja pale bruarizi asubuhi napiga Serengeti lager Tano mchana Kilimanjaro tatu jioni nakazia na safari kubwa Tano!
Bia tamu jaribu uone
[emoji1787] Kina niniiii basi acha nicheke hikiHiki kicheko [emoji1][emoji1787]
Yah man mi nisiposhtua pombe napoa sana nikipiga tungi nakuwa active mnoUna hisi kazininge fanyika😆
Cha kiukorofi😆[emoji1787] Kina niniiii basis acha nicheke hiki