Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

Sijawahi onja vyote hivyo ila tukiwa sehem mfuko upo vizuri kununua/kulipia niliye naye simple tu awe me/ke ila mimi sijawahi na hata company yangu wote watumiaji ila mimi sijawahi na sitegemei kama ipo siku ni tajaribu!
 
Bro mi hata sifikirii kujaribu, am just enjoying the way I live
Still Bado kijana mdogo ukikua kua utaelewa
Nilikuaga kama wew ila Huwa mara moja Moja Huwa nakunywaga wine🍷na spirit for recreational purpose tena Kwa kipimo MAALUM

Unywaji hutusaidia kufuta takataka nyingi kwenye ubungo 😊😊
So AKILI IKITAKATA NA MWILI LAZIMA UNATAKATA😊😊😊

Nachukia ulevi na walevi period!! Drink responsible kama wazungu (highly civilized people)
 
Drinking is drinking muraaa😆, Hakuna Cha civilized Wala nini 😆😆
 
Back
Top Bottom