Ambao hatujawahi kupata ban tangu tujiunge tukutane hapa

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
Yaani sisi tuna nidhamu sana.

Viongozi wa JF tunaomba mtupandishe cheo kabla mwaka haujaisha, hii ikiwa ni sehemu ya kutupongeza na kuwashawishi wale wanaopata banned.

Imekuwa tunalinganishwa na akina Bujibuji ambao wanaingia banned na kutoka.

NB: hii ni kwa wale members wenye 3+++ years JF.
 
Sabab ya kupigwa-ban huwa n nn?
 
Ukiona hujawai kupigwa ban basi wewe ni mnafiki,watu tusio wanafiki na wazee wa fikra pana na kutoa mambo kwa uwazi ban ni sehemu ya JF.
 
Ukiona hujawai kupigwa ban basi wewe ni mnafiki,watu tusio wanafiki na wazee wa fikra pana na kutoa mambo kwa uwazi ban ni sehemu ya JF.
Sasa unafki unatokea wapi mpenz?


Ukiniandikia hivo ndio unapata mkate wa siku?
 
Ukiona hujawai kupigwa ban basi wewe ni mnafiki,watu tusio wanafiki na wazee wa fikra pana na kutoa mambo kwa uwazi ban ni sehemu ya JF.

Umetumia lugha kali sana mkuu kuita watu wanafiki.

Huu mwaka wa 7 natumia huu mtandao sijawahi kula ban.

Kwa lugha hiyo sishangai wewe kupigwa ban
 
Umetumia lugha kali sana mkuu kuita watu wanafiki.

Huu mwaka wa 7 natumia huu mtandao sijawahi kula ban.

Kwa lugha hiyo sishangai wewe kupigwa ban
Yaani mi mwenyew nimeshangaa utazani nna ugomvi nae.
 
Hakuna kitu kinaleta raha na karaha kama ban. Banned idumu
 
Ni Ujinga tuu Sometimes
Mimi nimepigwa juzi tuu kwa kitu ambacho Watu weng wanakisema hasa Uzi wa Dar es salaam Vs Nairobi, Lakini nimeonekana Mimi....Shobo tuu zimewajaa [emoji2][emoji2]
 
unakaaje ni baadhi ya members wajinga-wajinga bila kuwapa facts kuhusu hali zao (nyie mnaita kutukana, lakini kiukweli ni kum-describe mtu alivyo)
 
Sasa unafki unatokea wapi mpenz?


Ukiniandikia hivo ndio unapata mkate wa siku?

Hpa naandika kiujumla kama ww ulivyoandika ujumbe ukafika kwa ujumla,hapa hatupo kushambuliana bali kila mtu kuweka anachowaza au kuona ni sawa.
 
Kwa upole sikupingi wewe ni mpole hapa JF. Ila ban tunapata watu hasa tukisahau sheria au kutosoma sheria. Watu wasiochangia si rahisi kupata ban.

Ila ban nyingine hutolewa ukimkosoa mtu mayai anayelelewa humu JF. Mfano ukikataa ujinga wa mtu mmoja humu mwenye ID mbili, anayejifanya mtu wa kitengo, ana matusi mengi na anapenda kutumia fungua na funga semi kwenye title za threads zake. Huyu ukimbishia kidogo anajifanya ana akili sana na wewe unaonekana POPOMA kisha mods wanaweza kukupa ban. Sio huyu tu, kuna jamaa alishawahi bishana na mtu wa kilingeni humu kuhusu ile app gani ilikuwa inatoa vocha, huyo jamaa alipewa ban.

Pia kuna watu wanakoseshwa ban mpaka nidhamu inakosa. Wanatukana matusi mazito na kudharirisha watu na kuachwa watambe.

Ukitaka kuepuka ban piga block kila unayehisi atakusababishia. Kuna watu unajua huyu kwa lugha hii, kauli hizi au mada hizi zinazonikera hata aandike nini hakiwezi nisaidia unapiga ban unabaki na mambo machache. Nawe utapigwa ban na asiyekuelewa.
 
Nshakulaga moja ya mwezi mzima ikabidi nifungue ID mpya niendelee kuchungulia JF imekuwa URAIBU wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…