Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hujawai kupigwa ban basi wewe ni mnafiki,watu tusio wanafiki na wazee wa fikra pana na kutoa mambo kwa uwazi ban ni sehemu ya JF.
Yaani mi mwenyew nimeshangaa utazani nna ugomvi nae.
Badowahitaji nikuombee tena
Sasa unafki unatokea wapi mpenz?
Ukiniandikia hivo ndio unapata mkate wa siku?
Yaani mi mwenyew nimeshangaa utazani nna ugomvi nae.
Kwa upole sikupingi wewe ni mpole hapa JF. Ila ban tunapata watu hasa tukisahau sheria au kutosoma sheria. Watu wasiochangia si rahisi kupata ban.Yaani sisi tuna nidhamu sana.
Viongozi wa JF tunaomba mtupandishe cheo kabla mwaka haujaisha, hii ikiwa ni sehemu ya kutupongeza na kuwashawishi wale wanaopata banned.
Imekuwa tunalinganishwa na akina Bujibuji ambao wanaingia banned na kutoka.
NB: hii ni kwa wale members wenye 3+++ years JF.