google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
inafanana kama ile yakoHaya, kazi kwenu msio na magari.
Kuna jirani yangu anauza hii gari kwa beo nafuu kabisa...View attachment 1165346
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inafanana kama ile yakoHaya, kazi kwenu msio na magari.
Kuna jirani yangu anauza hii gari kwa beo nafuu kabisa...View attachment 1165346
sio kwamba sina uwezo wa kuwa na gari..
sema tu sipendagi matairi meusi..
ukibahatika pia maana wengi wanapelekwa puta puta na wake zao ndo maana jion wanabana bar kwanzaUkishindwa kuendesha gari basi muendeshe hata mkeo..
salio lina drop au unadonoa ww mwenyewe ?
kwan sa hii unakalia mgongo ?Mm ata mgongo wa chura [emoji847][emoji8] ili mradi nikalie matako tu
wanaweza kukupa script ya kijijini huko unakata mkaa hali yako duni hahahahahaNtajiunga na bongo movie walau nipate la kuigizia.
hicho kimzigo nyuma haukishushi tuu kila siku kinabembea ?
...........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inafanana kama ile yako
hiyo avata ya jani ikakuchanganyaNi ufujaji wa pesa tu kununua gari mara ujaze mafuta mara service...halafu ni matumizi mabaya ya rasilimali huku tukiwa na miguu,kisha tutakosa kushiriki kijamii kwa kutotumia public transport.Hakuna kununua magari,kampeni ya kutembea kwa mguu idumishwe.
watu wanafagia nyayo zao tusione[emoji23][emoji23][emoji23] Nyayo zingine mtu hataki hata uzione kapita wapi na wapi
waambie ni anasaAisee ntaelezea nin watoto juu ya babayao kukosa gari
mara seat cover, maaaraaa paaap gari imekamilikaAnza mdogo mdogo..
Tairi, mara injini, sight mirror, etc
garageWenye magar mabovu tuna comment WAP ..?
ww si unakuwa ndani ya gari sio kwenye tairi ? acha unokosio kwamba sina uwezo wa kuwa na gari..
sema tu sipendagi matairi meusi..
acha kudonoa sasa umiliki ndingaNadonoa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
This is one of the best thread ukiiangalia namna ilivyoandikwa.Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]
Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]
Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada ya kuhudumiwa nikawa nasubiri mkate wangu wa chai anikabidhi....Akaja mama mmoja hivi anagari moja hivi nyeusi kali imepanda hewani, Tairi zake zote nne zipo juu juu yaani inanesa nesa tu[emoji856][emoji856]
Mama akashuka na kuja dukani huku gari inakimuungurumo fulani hivi cha chini chini wamiliki wanasema "sailensa"
Mama kajifunga kitenge na kisuruali mbano kipo ndani cheupe[emoji19][emoji19][emoji19] daah [emoji6][emoji6] lahaula.....[emoji1316]
Moyo umeniuma sana kwanini watu wanamagari mimi sina[emoji19][emoji19][emoji19] ...Nitawaeleza nini watoto[emoji34][emoji34]
Je waliyonayo wamefanya vipi ili kuyapata!? Je wote wamekopa? Je kwa biashara zao wafanyazo? Ni zipi hizo!? Je mitaji ya biashara hizo walitoa wapi? Urithi au waliuza mali za familia?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Na sisi ambao hatuna magari tufanyaje ili tumiliki ndinga kali? Huwa unajisikiaje unakula lifti kwa mshkaji aliyekuzidi umri na ana ndinga kali wakati ww pia unanguvu zako?
Embu tujadiliane hapa, mbinu njia au ubunifu wowote utakao tusaidia kumiliki ndinga bhana[emoji34][emoji34][emoji34]
Nawasilisha mheshimiwa spika!!
Wapi nimesema nakaa kwenye tairi?ww si unakuwa ndani ya gari sio kwenye tairi ? acha unoko
Ndugu, mishahara ya watu unaijua au unaiskia?? Afanye saving ya laki 5 per month???Very simple mkuu, fanya kazi ila weka akiba tena kwa kijilazimisha. Mfano kila mwezi ukiweka let say laki tano kama akiba unafika mbali sana
garage
Ndugu, mishahara ya watu unaijua au unaiskia?? Afanye saving ya laki 5 per month???
ww hupendi tairi nyeusi ndo nikasema kwani unakaa kwenye tairi mpaka uzipende ?Wapi nimesema nakaa kwenye tairi?