Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Ni ufujaji wa pesa tu kununua gari mara ujaze mafuta mara service...halafu ni matumizi mabaya ya rasilimali huku tukiwa na miguu,kisha tutakosa kushiriki kijamii kwa kutotumia public transport.Hakuna kununua magari,kampeni ya kutembea kwa mguu idumishwe.
hiyo avata ya jani ikakuchanganya
 
Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]

Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]

Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada ya kuhudumiwa nikawa nasubiri mkate wangu wa chai anikabidhi....Akaja mama mmoja hivi anagari moja hivi nyeusi kali imepanda hewani, Tairi zake zote nne zipo juu juu yaani inanesa nesa tu[emoji856][emoji856]

Mama akashuka na kuja dukani huku gari inakimuungurumo fulani hivi cha chini chini wamiliki wanasema "sailensa"

Mama kajifunga kitenge na kisuruali mbano kipo ndani cheupe[emoji19][emoji19][emoji19] daah [emoji6][emoji6] lahaula.....[emoji1316]

Moyo umeniuma sana kwanini watu wanamagari mimi sina[emoji19][emoji19][emoji19] ...Nitawaeleza nini watoto[emoji34][emoji34]

Je waliyonayo wamefanya vipi ili kuyapata!? Je wote wamekopa? Je kwa biashara zao wafanyazo? Ni zipi hizo!? Je mitaji ya biashara hizo walitoa wapi? Urithi au waliuza mali za familia?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Na sisi ambao hatuna magari tufanyaje ili tumiliki ndinga kali? Huwa unajisikiaje unakula lifti kwa mshkaji aliyekuzidi umri na ana ndinga kali wakati ww pia unanguvu zako?

Embu tujadiliane hapa, mbinu njia au ubunifu wowote utakao tusaidia kumiliki ndinga bhana[emoji34][emoji34][emoji34]

Nawasilisha mheshimiwa spika!!
This is one of the best thread ukiiangalia namna ilivyoandikwa.

Mwandishi ni mbunifu, hoja ni fikirishi, hususan kwa vile watu wengi hapa jukwaani wanajinasibu kuwa mambo safi. Ni mjadala mzuri na wanaotaka kujifunza wanaweza kujifunza hapa. Of course usafiri kwa kipindi ni miongoni mwa basic needs.

Tujadilini......
 
Back
Top Bottom