Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!
Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!
Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?
Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...