Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!

Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!

Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?

Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...
 
Sherehe yangu ni kwenye papuchi pekeeee
 
Nachofurahi tu leo ni Kutoenda Job
 
Subiri kwanza nikalewe kisha nirudi.
tapatalk_1545477238627.jpeg
 
Endelea Na Kazi Kama Huna Dini. Wanaoamini Mwokozi Wao Kazaliwa Hao Ibadani Kusikiliza Mahubiri
Mbona hao hao wakitoka ibadani ndo wanajaza guest na bar??
Maana wateja wa bar na kanisa ni wale wale!!
 
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!

Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!

Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?

Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...

Hauko peke yako!

Hapa Kiluvya nimewapita machizi wanafyatua tofali kama hawana akili nzuri!

To them Christmas is just another day.
 
tuko pamoja mm kwanza jana ndio nasikia et leo ndio chrismas kwakweli huu upuuzi wa nimlod unawasumbua san watu
 
Watu wanapagawa kabisa.. wapo tayari hata kukopa!!
 
Back
Top Bottom