Sherehe yangu ni kwenye papuchi pekeeeeWakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!
Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!
Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?
Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...
Nachofurahi tu leo ni Kutoenda JobWakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!
Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!
Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?
Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...
[emoji3][emoji3][emoji3]Subiri kwanza nikalewe kisha nirudi. View attachment 976667
Kama kawaida yangu nimeshavuta chombo nasubiri aje hapa apike pike then baada ya msosi nimle mpishi mpaka keshoha ha ha leo hujaopoa kwenye banda lako la chipsi hapo..
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!
Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!
Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?
Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...
siyo Dallas mkuu?Hauko peke yako!
Hapa Kiluvya nimewapita machizi wanafyatua tofali kama hawana akili nzuri!
To them Christmas is just another day.
ni upumbavu wa kimo cha ukubwa wa goliati sina mda ndio kwanza najianda kwenda jobWatu wanapagawa kabisa.. wapo tayari hata kukopa!!