Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Sema huna pesa so mtafutane msio na pesa na sio ambao hamna muda na x mas
 
Nilichokielewa hapo mkuu ni kwamba unataka kutujulisha kuwa kuna watu huwa unawapa hela siku za sikukuu
 
Baada ya kukua na kujua kuwa hii siku ni ya Nimrod na sio Yesu nikaacha kishehereka kabisa. Nipo tu nimechill na wanaaa
 
47169014_221586195430244_6611945408320567909_n.jpg
 
Niliachana na habari za kusherehekea siku kuu tangu mwaka 2012 ... na mpaka leo hii hazijawahi hata kuni sisimua ..najioneaga ujinga tu
 
tuko pamoja mm kwanza jana ndio nasikia et leo ndio chrismas kwakweli huu upuuzi wa nimlod unawasumbua san watu
Hahaa nimrodi kawatia watu kanyaboya na mwanae tamuzi ... halafu waweza kukuta mwenyewe huko aliko hata hajui kinachoendelea
 
Back
Top Bottom