Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Pamoja mkuu huyo yawezakuwa ni mfasi wa Divo pengin huwez kujua usifate maneno km hayo kws ushari lkn
 
Humu mnaotoa maneno ni waislam na wasabato na kiuhalisia xmass haiwahusu kwahyo naunga mkono hoja
 
Cheki mama huyo anaandaa ofisi yake ya kuuzia dagaa!! Asubuhi ya leo hii....

01F01DCD-9CC0-4F31-8BE8-3609EF324AE7.jpeg
 
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!

Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu, sasa mtu kama hana hela si bora atulie tu kuliko kusumbua watu!!

Mpaka jana watu zaidi ya 10 wamepiga simu niwape hela, nikajisemea wancheza hawa... starehe za kwao alafu nizilipie mimi si majanga hayo?

Mi siku ya leo naendelea na kazi zangu kama kawaida...
Sijawahi kuwa na mzuka na sherehe kabisa aiseeh.
 
Back
Top Bottom