Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Kama kawaida yangu nimeshavuta chombo nasubiri aje hapa apike pike then baada ya msosi nimle mpishi mpaka kesho
Aisee uko na raha sana. Unakula kazi ya mpishi na baadae mpishi mwenyewe!
 
Mwanza hapa.
20181225_182512.jpg
 
Tayari umeshautenga muda wako kwa ajili ya Christmas,

Maana unaiongelea na umeianzishia uzi
 
Ambao hatujanunuliwa nguo za Krismas, hatujaenda kuhesabiwa na tusioalikwa kwenye mnuso tunacomment wapi?
 
Back
Top Bottom